Wauzaji wa Tyre na battery za magari aina zote

Adhan

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
283
225
Wahli Tyres Center wauzaji wa matairi Bora na imara pamoja na betri zenye warranty ya mwaka mmoja fika dukani kwetu Kariakoo mtaa wa Livingston na Tandamti ujipatie bidhaa zetu zenye ubora uliothibitishwa kimataifa bidhaa zetu zinatoka America, Asia, Europe na Africa kusini

Matairi size zote kuanzia magari madogo mpaka makubwa pia zipo tairi za mashine

Hauitaji kuja mjini piga simu uletewe popote ulipo delivery free malipo baada ya kupokea mzigo wako kama umesahau size ya tairi piga picha tutumie what's up tutakupatia ufumbuzi karibuni sana

Call SMS what's up
0757752160
0625527014
0786647452
0673900183

Tunatoa ushauri namna bora ya kutunza matairi na betri
IMG_20211014_112128_435.jpg
 

mwagito25

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
431
250
Wahli Tyres Center tunauza Tyre na battery za magari Aina zote kuanzi madogo mpaka makubwa kutoka nchi tofauti

Tyre tulizonazo zinatoka
USA, Italy, South Africa, China, Japan, Korea, India
Tyre za gari kubwa

Size za magari makubwa na mabasi
385/65R22.5
385/55R22.5
315/80R22.5
295/80R22.5
11R22.5

Size za fuso, canter ,coaster ,eacher, tata na Nissan civilian
265/70R19.5
9.5R17.5
215/75R17.5
825R16
750R16
700R16
650R16

Size za magari madogo yote zipo
295/45R22
285/50R20
275/45R19
265/65R18
275/65R17
275/70R16
265/75R16
26570R16
265/65R17
255/70R15
235/85R16
235/75R15
235/60R16
215/70R16
205/70R15
205/65R15
195/65R15
195R15
195R14
185/70R14
185/70R13
175/70R13
155R12
Zipo size tofauti na brand tofauti

Battery aina zote kutoka
Japan, Korea, India, Kenya, Bangladesh, Pakistan, Germany
N200
N180
N160
N150
N120
N100
N70
N50
Ns60
N40
Ns40
Battery maalum kwa gari zinazotoka ulaya na america
Dn100
Dn88
Dn55

Tupo kariakoo mtaa wa Livingston na tandamti karibu na NMB bank
Mawasiliano
Halotel 0625 527014 ( what's up)
Voda 0757 752160
Tigo 0673 900183
Huduma 24h

Delivery (free dar es salaam) mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa View attachment 1818929
nitakutafuta kwa tyre za isuzu na battery
 

mwagito25

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
431
250
USHAURI;;;;;;;;;; Wateja wanaopata huduma zenu hasa mikoani watambueni vizuri ili muwatumie kama rejea ya kupata wateja wapya kwa sababu saivi dunia imeharibika uaminifu umekuwa zero.

kwahyo mfano mteja mpya yupo Dodoma akitaka kujua uhakika wa biashara mnaweza toa mfano kwamba fulani tumemuuzia na risit hizi hapa.

HII NI KUTOKANA NA UZOEFU KWENYE BIASHARA ZA MTANDAONI....
ASANTE
 

Adhan

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
283
225
USHAURI;;;;;;;;;; Wateja wanaopata huduma zenu hasa mikoani watambueni vizuri ili muwatumie kama rejea ya kupata wateja wapya kwa sababu saivi dunia imeharibika uaminifu umekuwa zero.

kwahyo mfano mteja mpya yupo Dodoma akitaka kujua uhakika wa biashara mnaweza toa mfano kwamba fulani tumemuuzia na risit hizi hapa.

HII NI KUTOKANA NA UZOEFU KWENYE BIASHARA ZA MTANDAONI....
ASANTE
Ahsante kwa ushauri mzuri tutaufanyia kazi
 

kawombe

JF-Expert Member
Mar 26, 2015
4,982
2,000
Habari
Naweza pata 185/16R15.Nafunga kwenye Rim size 14.Bei gani?taja na jina la gurudumu lenyewe
 

Adhan

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
283
225
Habari
Naweza pata 185/16R15.Nafunga kwenye Rim size 14.Bei gani?taja na jina la gurudumu lenyewe
Mkuu hii size ujakosea kweli unaweza kuisoma vizuri au ipige picha tairi yenyewe kwenye zile namba halafu itume niione
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom