Wauzaji wa mbao zenye dawa /Treated kutoka mafinga

yvonne mtete

Member
Jan 22, 2016
30
11
Tupigie 0623 160 404
0758 293 587
____________________________
Ujipatie Mbao zenye dawa kwa bei poa naa upate ofa nyingi ikiwemo
1. Misumari Bure 10kg
2. Waya kenchi Bure
3. Usafiri Bure mpaka sait
____________________________________
Tunapatikana Buguruni Chama Dsm
IMG_5277.jpg
 
Ainisha bei zako mi nahitaji PC 600 za mbao

Mbao zenye dawa za futi 12 ambazo tunauza kwa mbao moja
2*2@3500
2*4@6500
2*6@10,500

Mbao zenye dawa ndefu zenye wastani wa futi 20 tunauza kwa futi(Vipimo)
2*2@ft 400
2*4@ft 800
2*6@ft 1200
 
Hii dawa mnaichovya wenyewe halo buguruni au mnachukua mbao toka site kwa Melab huko mafinga zikiwa tayari zimeshachovya kwenye dawa na kukaushwa na kunyoshwa na mitambo ile?
 
Hii dawa mnaichovya wenyewe halo buguruni au mnachukua mbao toka site kwa Melab huko mafinga zikiwa tayari zimeshachovya kwenye dawa na kukaushwa na kunyoshwa na mitambo ile?

Tunachukua shambani zikiwa tayari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom