SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,903
Hivi wabongo bado hatujapata fundisho na hizi pyramid schemes?
Atakuwa yupo na mjengo na bizness nyingine,kuna siku nlimuona maeneo ya obay usiku mnene anakatiza na Jeep yake sijui alienda kula bata au ndio ananyuti kule maana ilikuwa ijumaa ya mwezi wa tisa mwishoni.kwahiyo biashara yoote kaambulia gari tu?.alafu blandina tu ndio katoka na wengine ambao hawazidi 20%?.
basi probability ya kutoka ni 30% less. Maana blandina kila miaka namsikia na ile jeep yake ?
hhahahahahhhhahahhhahhahhahahahhahahahhhhahahaha uuuuwih!Wanagaramia hadi misosi ili tu uone bidhaa jinga sana, mie nlipewa ka fanta na vibagia nlivokua na hasira nkakanywa fasta tu gudugudugudu nkaweka chupa pembeni nikaendelea kununa
hhahahahahhhhahahhhahhahhahahahhahahahhhhahahaha uuuuwih!
kote huko sijacheka1
ILA HAPO PA GUDUGUDUGUDU ahahahhahahahhahahahhahahahahahhahahaha
Mkuu kwani unakulaga nyama ya mtu? maana umesema utamtafuna au sijakuelewa vizuri?Kuna mmoja mke wa mtu kila siku ananijidai kuni encourage nijiunge tuu naona soon ntamtafunaaa
pole mkuumie kuna dada mmoja wa hizo living product kidogo anigombanishe na mke wangu, asubuhi tuu simu ooh tuna product hizi ,mke wangu akahisi mmhh anaibiwa
hahahah!! na mie nilialikwa, huyo mtoa mahubiri ya utajiri amechoka mie nna nafuu.
Biashara za kitapeli hazina mashiko...ondoa kitambi wakati mume wa anayekuuzia kitambi hakikamatiki
Yaan ulipotajs edmark umegusa patamu awa jamaa walinifanya nikope pesa ya nauli na chakula kutoka mbagala mpaka masaki wakaniambia wanatoa ajila baada ya kuwauliza hawakunijib majibu yanayoeleweka mzee nikajitupa kufata ajila nilicho kikuta aisee kidogo nianzishe timbwilna sasa kuna EDMARK,kadada kakali kinoma nakaajua kananisumbua kila siku nionane nako,eti kaniingize kwenye list yake yani haya mabiashara ya kimtandao kibongobongo nahis hayafanyiki kwa weledi mkubwa,ujanja mwingi sana na uongo ndo mana mwisho wa siku mtu analia,nafikiri mtu aelimishwe vya kutosha ili awe huru kujiunga siyo huachiwi pumzi afu wanataka laki7 yako kimasihara tu,na kuna magroup mengi whatsap huko wanajidai wajasiriamali wanawaunga,mnachati siku mbili tatu story zinahamia forever living au rifaro n.k ukiwachana wanakuremove haiishi hata dk.hili pia ni jipu kitumbuliwe haswaaaa
problemee ni kwamb watu wengi wanatk utajir wagafla.Na hao wengi wao "nisimple minds they cant reason logical.Izo bithaa mbona hawauzi kwenye maduka mpaka "wakabe"watu????!!!.These thiefs like az thiefs.Yaan ulipotajs edmark umegusa patamu awa jamaa walinifanya nikope pesa ya nauli na chakula kutoka mbagala mpaka masaki wakaniambia wanatoa ajila baada ya kuwauliza hawakunijib majibu yanayoeleweka mzee nikajitupa kufata ajila nilicho kikuta aisee kidogo nianzishe timbwil
All a lieyers.And sm a thiefs.Weka mbali na pesa yako.Habari za weekend.....
Wauzaji wa bidhaa za forever living, kwanza hongereni kwa kufanya hiyo biashara inayohitaji kipaji cha hali ya juu kuweza kuongea sana na kumshawishi mteja, ni kipaji kwakweli.
Back to topic, mmekua mnatumia mbinu za uongo na kulazimisha sana mteja ili mtangaze biashara aaagrrrr hii mbinu yenu Inakera sana,inaboa sana
Mfano 1: siku za karibuni nikialikwa mahali, nikaambiwa ni semina nauliza semina ya nini nikaambiwa semina tu nihudhurie napigiwa simu za kusisitiza nikaona isiwe tabu ngoja niende nikaahirisha vitu vya muhimu kwenda semina, kumbe ni kwenda nyumbani kwa mtu kuoneshwa bidhaa za forever, wtf? Kwanini umdanganye mtu? Can you imagine nilikua nafeel vipi wakati naoneshwa hizo bidhaa? Mxyu nilikua nimekasirika sana
Mfano 2: dada mmoja kwenye group la whatsapp alitoa mwaliko, jaman karibuni kwangu sehemu flani kuna shughuli, msosi na bia vipo mtakula mtakunywa mtasaza, tunauliza ni nini ubarikio, engagement au nini mchango vipi anakomaa nyie njooni tu eeeh walaji na wanywaji wakaenda eneo la tukio wamevaa suti kumbe ni kuoneshwa bidhaa za forever, Wiki nzima group kimya hakuna anaeongea kumbe watu wamenuna
Mfano 3: Wauzaji wa online, mtu anasema una mtaji wa laki njoo whatsapp tufanye biashara ukiuliza biashara gani unaambiwa njoo whatsapp, unaenda whatsapp anakutumia video la mb 100 kutangaza forever.
Hii ni mifano michache, hivii hamuoni mnakwaza watu? Hakuna mbinu nyingine za kutangaza bidhaa zenu bila uongo??? Au bila kudanganya hamuuzi? Mnakera sanaaaaa
Ni hayo tu
Awake?!Kuna mtu online alianza hivo kama una laki mbili, njoo tufanye biashara bla bla faida mara mbili nikauliza akaniambia njoo whatsapp, nikaenda akaniunganisha na mtu mwingine, huyo mtu akatuma video anajieleza Daaah nlichoka
Hayo yote ya nini, kwanini asingekua straight tu kuwa ni biashara yake forever niamue yes or no