Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,546
- 3,549
Wakuu kuna mtu yeyote anayeuza vitenge humu? Halafu bei za hivi vitenge zikoje mana nimejaribu kuchungulia huki insta naona vinauzwa 35,000 ina mana hamna vya bei ya chin i ya hapo??
Na quality zinakuwaje mana sijui chochote kuhusu vitenge na nataka nimnunulie shangaz yangu nimpelekee zawadi
Wataalamu wa vitenge tujuzane na machimbo ya kupata walau bei ya kupoa
Na quality zinakuwaje mana sijui chochote kuhusu vitenge na nataka nimnunulie shangaz yangu nimpelekee zawadi
Wataalamu wa vitenge tujuzane na machimbo ya kupata walau bei ya kupoa