Wauza Vipodozi hutoa wapi bidhaa Kati ya China, Turkey na US?

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,001
2,000
Kati ya nchi hizo wapi wanatoa vipodozi affordable price and original?

Najua kuna product zinatoka China na ni bora kabisa je ni zipi?
 
Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
5,439
2,000
Suggestion ili upate vilivyo na bei shindani na rafiki ni china na turkey kidogo. Ila kuna wengine wanatoa uk na usa sema bei zake zinakua zimechangamka
 
Chance ndoto

JF-Expert Member
Mar 8, 2017
394
1,000
Asikwambie mtu. Hivyo vipodozi vingi, chimbo lake ni dubai.
China vinatoka vile ambavyo tu manufacturer anatengeneza wewe una brand. Na vingi pia vinaingia dubai kwanza kupata uhalisia wa vinavyopendezwa na watanzania wengi.
Siri ipo dubai
 
Asante kwa wazo
 
Isanga family

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
9,273
2,000
Vipodozi vinatoka SA wauzaji wakubwa hapo Kariskoo wanatoa mafuta SA na yapo mafuta mengine kama Nivea ya Spain yanaanzia kusambazwa SA agent wao yupo kule ingawaje kipo kiwanda cha Nivea hapo Kenya ila ubora wa mafuta upo tofauti sana...yapo Maduka karibu sita Johannesburg kwa ajili ya Cosmetics tuu ni Jumbo,Cash n Carry na mengine yapo maeneo hayo hayo ila box za cosmetic zinashika hela nyingi kwa box chache tuu...ukiweza zaidi unaenda viwandani.
 
Isanga family

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
9,273
2,000
So wapi kuna chaguzi kubwa kati ya Dubai na SA
Hatuwezi kutaja majina humu ila wauzaji wakubwa wa mafuta hapo wanatoka hapa SA pamoja na Pombe...mafuta mengine wamepata uwakala wanauziwa wao tuu huko viwandani...nenda saba saba hapo kariakoo au Sinza kwenye store zao..
 
kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,001
2,000
Hatuwezi kutaja majina humu ila wauzaji wakubwa wa mafuta hapo wanatoka hapa SA pamoja na Pombe...mafuta mengine wamepata uwakala wanauziwa wao tuu huko viwandani...nenda saba saba hapo kariakoo au Sinza kwenye store zao..
Duh ungetusaidia namna ya kuwapata mkuu
 
Isanga family

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
9,273
2,000
Duh ungetusaidia namna ya kuwapata mkuu
Nenda kariakoo hapo saba saba mtaa aliopo Sauli vipodozi na wengineo huyo nimemtaja ni mmoja wa wauzaji wa kipodozi ila hawezi kukueleza chochote kuhusu hiyo biashara hata ukienda madukani labda uangalie bidhaa wanazoleta ila hawawezi kukuambia kitu na pia mara nyingi wao hawapo wamewaacha wafanyakazi na ndugu madukani...
 
kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,001
2,000
Nenda kariakoo hapo saba saba mtaa aliopo Sauli vipodozi na wengineo huyo nimemtaja ni mmoja wa wauzaji wa kipodozi ila hawezi kukueleza chochote kuhusu hiyo biashara hata ukienda madukani labda uangalie bidhaa wanazoleta ila hawawezi kukuambia kitu na pia mara nyingi wao hawapo wamewaacha wafanyakazi na ndugu madukani...
Asante mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom