Geechie
JF-Expert Member
- Oct 26, 2015
- 977
- 761
Wabongo bwana kuna wauza unga wa kutoka tuliani wajinga kwelikweli.
Wanatuma madawa za kulevya kwenda Canada, eti hizo dawa za kulevya wanazifungia kwenye spare parts ya gari.
Hivi wana akili kweli unaweza toa spare parts ya gari third world unapeleka dunia ya kwanza Canada au walikuwa wanatafuta kutumbuliwa?
Source:Habari channel 10