mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,207
- 1,755
- Thread starter
- #21
Hawa waliotengeneza hii website hawakupaswa kutengeneza website ya aina hii kwa company hiyo, sijui walikuwa wanawaza wapi.Umenifahamu lakini nlichokiandika?
MO Dewji Foundation website kama hii, eti uanze kuandika html na css codes from scracth wakati kuna wordpress ya kufanya kazi faster?