mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,208
- 1,755
Kwanini kila wakati mnashusha bei ya bidhaa zenu ?
Leo unakuta mtu anauza/kutengeneza tovuti kwa laki nne kesho tatu keahokitwa mbili mara laki na 80 sasa hii biashara haiko stable kiasi hicho au inakuwaje wakati mwingine mtu anauza native app kwa laki tatu n.k , embu tuambie hilo soko linasumbua sana ndugu zangu ama mnaona ni kawaida kushusha bei mara kwa mara?
Basi hata kufanya freelance huko upwork, Fiverr, na freelancer inashindikana pia?
Maana huwa naona ni kama kuna kitu hakiko sawa.
Msinichukulie vibaya lakinI Haya mambo huwa nayafikiria sana atleast kama itashindikana ni bora kutengeneza solution ambayo mtakuwa mnachaji watu kwa mwezi au hii haiko poa na inashindikana?.
Leo 50% OFF KESHO 20% OFF ITAFIKA HADI 10%
Maybe wakomgwe watatoa duku duku lao pia kusaidia vijana wenzangu