Mbela95Fioso
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 325
- 125
Mkuu hiyo haitanifaa maana nina matumizi ya ovyo sana katika simu, nahitaji yenye 512 ROM
Anhaaa basi sawa ngoja nikuchekie kwa wengine kama wanazo boss wangu
Mkuu hiyo haitanifaa maana nina matumizi ya ovyo sana katika simu, nahitaji yenye 512 ROM
Wadau habari kuna mtu anauza S6 Edge Plus, bado mpya ni duos ana shida na pesa 200K nitapandisha picha hapa.
Laki 2 anataka mkuu.150 natoa chap
Nipo iringa
Laki 2 anataka mkuu.
250k ipo
kama unahitaji simu used nicheki 0683011003 kwa sms nakutagutia simu nzuri haraka.
nahitaji wateja serious zaidi sio mtu unataka simu ya laki 3 uipate kwa laki 1.
Walioko Dar watanufaika zaidi.
Utaratibu na gharama zikoje kwa ukitqka kuqgiza LaptopKwa anayetaka simu za jumla kutoka China au laptop original (Refubrished ) unaweza ukanicheki.Bongo tuna ofisi Infinix building lakini bei za kuuzia bongo ni tofauti na uki order mzigo wako na tukakutumia
Brand gan unazokama unahitaji simu used nicheki 0683011003 kwa sms nakutagutia simu nzuri haraka.
nahitaji wateja serious zaidi sio mtu unataka simu ya laki 3 uipate kwa laki 1.
Walioko Dar watanufaika zaidi.