Wauza smartphone tukutane hapa

Condition: Used four months

Screen Size: 5.1-6 inches

RAM: 4 GB

Storage Capacity: 128 GB

Price : 500k
Contact 0684085052 nipo dar es salaamView attachment 1700913View attachment 1700914View attachment 1700916View attachment 1700917View attachment 1700918
20210212_184016.jpg
 
Samsung A10 used 3months
Warranty 24months
Dark display
32 gb storage
2 gb ram
Battery health 100%
Dual camera
Fingerprint
220,000/ but 200,000 nachukua na cm ndogo ya batani
Location sumbawanga
Contact 0746866631
NB, simu haina shida yoyote wala haijapasuka au mkwaluzo sehemu. Ni ugumu wa maisha tu wakuu, nimeshindwa ku-upload picha coz nipo natumia jf ya free basic.
Karibuni. But kama upo interested ntakutumia picha ata whatsp
 
Samsung A10
Imetumika miezi miwili kuelekea mitatu
2 gb ram
32 gb internal storage
Dual camera
Betri linatunza sana moto, ck 1 na masaa saba had kumi
Haina tatz, wala haina mkwaruzo sehemu.
Jamani nisaidieni mwenzeni hii n changamoto ya hela. Sina ata mia hapa. Mlo mmoja utanitesa jamani. Plz kununua simu yangu ni kunisaidia mimi.
Ina documents zote yan chaja box na malisti yake
Naiuza 215,000 au 200,000 na kisimu kidg kwa ajiri ya matumizi mana sina simu nyingne, hiyo laki mbili nahitaji niifanye kama mtaji. Plz jaman nisaidieni.
Nipo sumbawanga hata ukiwa mbali ntakutumia tu jamani sina utaperi wowote au kama una mtu yupo huku sumbawanga basi unaweza mtuma aje aicheki😔😔
 
Kwa anayetaka simu za jumla kutoka China au laptop original (Refubrished ) unaweza ukanicheki.Bongo tuna ofisi Infinix building lakini bei za kuuzia bongo ni tofauti na uki order mzigo wako na tukakutumia
 
Kwa anayetaka simu za jumla kutoka China au laptop original (Refubrished ) unaweza ukanicheki.Bongo tuna ofisi Infinix building lakini bei za kuuzia bongo ni tofauti na uki order mzigo wako na tukakutumia
Pay after delivery ipo?
 
Mkuu 200,000 ndo bei ya dukani mkuu?
Hiz hela zinakolala hizi. Alafu simu imetumika miez mitatu kasoro na ina warranty ya miez 24 , ata robo ya matumiz ya warranty bado kufika😁
Anyway asante mkuu kwa ushauri
Tatizo unataka kuuza kwa bei za dukani,na huku town watu wengi ni wajanja wa simu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom