Wauza smartphone tukutane hapa

GALAXY A5 FOR SALE

3RAM
32ROM

PRICE 230K

CLEAR/ CLEAN

CALL 0746322889
IMG_20200810_163305_1.jpg
IMG_20200810_163252_7.jpg
IMG_20200810_163420_3.jpg
IMG_20200810_163328_9.jpg
 
Wazee nahitaji sanaaa..
Latest Samsung M31s,

hii simu imeingia sokoni mwezi huu,
inauzwa Amazon na baadhi ya Samsung stores, ila sio hapa bongo.

Kwa wauzaji wa humu yoyote atakeyeishika SEALED anijuze.

Iwe 8/128GB
samsung-galaxy-m31s-2(1).jpg
 
iPhone 7 plus 32 Gb
Full boxe sealed
Hazijatumika wakufuliwa kutoka kwenye box lake
Bei 670,000 free delivery in Dar.
Call 0755655516
8c915593-6a4c-4b8f-b48c-bd109c78c6f8.jpg
 
Hivi "used abroad" inaongeza vipi thamani ya simu ????

halafu kuna kabendera ka Saouth Afrika, kwahiyo Mzulu anajua sana kutunza simu, au? Au ni ulimbukeni ?
 
Hivi "used abroad" inaongeza vipi thamani ya simu ????

halafu kuna kabendera ka Saouth Afrika, kwahiyo Mzulu anajua sana kutunza simu, au? Au ni ulimbukeni ?

Sasa hii mada imetokea wapi?
From nowhere tuu unaandika hivi?

Anyway
Ni Picha tuu iliyojengeka ya kua kilichotumika nje angalau kina unafuu kuliko kilichotumika hapa kwetu,

Wanaweka hako kabendera kama utambulisho wa kujua nchi simu ilikotoka....
 
PS4 Slim
500GB
Brand New
750,000 Tsh only
We do delivery in Dar es salaam
0714 036595 WhatsApp & Call
 

Attachments

  • 74EB720B-0C24-4633-999F-6F6491322006.jpeg
    74EB720B-0C24-4633-999F-6F6491322006.jpeg
    58.8 KB · Views: 2

Similar Discussions

Back
Top Bottom