Cosmasjulius
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 695
- 1,004
Mkuu jamaa aliipataje simu yake hiyooo kama aliibiwa?????? Msaada mkuuHakikisha unasimamia huu msimamo
Tumemtoa mtu selo masaa mawili yaliyopita na madai ya 3M kwa Samsung A30.....
Sema Bei yako hio ukikosa ya wizi kuna hati hati ya kupata bomu...
Hii dezo Inacost sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app