Wauza smartphone tukutane hapa

kwa nn usichukue SM-955F/FD(D for dual sim) Ambayo ni global/international Model?
Hio SM-955U ni USA-Unlocked,
kuna uwezekano ikakusumbua Network strength sbb umebadilisha zone.

Hii kitu watu wanachukulia poa ila ni vizuri sana ukinunua simu hasa samung ambao hutengeneza simu kuendana na zones,

Japo models zinazoishia na ...U au ...0 angalau ila best ni F/FD/DS....
Hizo ndio international na hata uende nchi gani utaitumia km ilivyo na haisumbui network n.k

Ukiona Samsung mwishoni mwa model inaishia na
A, Z, N, P, V, W, R4
jua umeuziwa carrier unlocked,
kwa vyovyote vile itakua ni used...

Yaani ni kama vile huku kwetu, Tigo anaingia ubia na Tecno amsaidie kutangaza na kuuza simu zake kwa bei ya chini, lkn tigo nae ana mpa mashart lazima Hii simu Tui LOCK kwa laini yetu,
kwaio unaenda Tigo Shop kununua simu ya tecno(mara nyingi tunasikia zinatangazwa na tigo),
na Moja ya mashart ni kwamba lazima laini moja iwe ya Tigo(hii ndio carries LOCKED sasa)

Ukitaka kutumia laini zote basi utalazimika kwenda kwa wa taaalam wai UN-LOCK(sisi tunaita ku flash japo sio lugha sahihi sana maana lugha nzuri ni ku unlock, neno ku flash hii lugha miaka ya nyuma kdg ilikua common sana kpnd kile tunanunua vile vi simu ya vodafone n.k)

Sasa hizo simu zenye hio Models hapo juu
Mfano ukaona inaishia na V, T au A
inamaanisha ni Verizon, T-Mobile au AT&T respectively,

Hio ni mitandao ya simu ya specificaly Marekani Km sisi tunavyosema vodacom, tigo Airtel imeingia ubia na samsung watengeneze simu maalum kwa mitandao yao,
mashart wanayowapa samsung ni kwamba ziuzwe kwa bei nafuu na pia zifungwe zitumie lain moja ya mtandao husika.

Kwahio samsung wao wanafaidika kwa simu zao kuuzwa kwa urahisi na haraka sbb ya matangazo mengi na upatikanaji rahisi,
na Mtandao husika nao unafaidika kwa kupata Wateja weng maana watu watafuata kilichorahisi na itabidi wafuate masgart ya kutumia laini ya wauzaji kwa angalau miaka miwili.

Kwa hio ikishaisha ile miaka miwili(mtumiaji lazima ufuate taratibu/mkataba ukikiuka uka i flash kabla ya miaka iliyowekwa ni kosa) ndio unakuta mtu anaweza kui Unkock,

Sasa mtu akiichoka anataka kuiuza ije africa atalazimika ku i unlock kama tunavyoita ku flash, halaf inaletwa huku...
Ndio unauziwa ww, kwaio piga ua hio simu lazima iwe used haijalishi kwa mda gani ila nyingi ni miaka miwili na kuendelea.

Lakn hii haimanishi hizo
F/FD/DS basi zote Ni mpya....
Cha kuelewa tu ni kwamba hizo zinatumika kimataifa na zinatumia laini zote,
kwaio pia mtu anaweza itumia ktk nchi nyingne akaiuza ikaja huku.

Akili kwako...
Za kuambiwa changanya na zako ....
Neno langu si sheriaaa.....

upendo na amani.
Jamaa upo nondo sanaa daaaah.. mungu akubariki
 
matapeli na wasio matapeli wote wamo,
inshu ipo jee utaangukia mikononi mwa yupi? Utamjuajee?

Cha msingi nikujarb kupunguza risk angalau kwa:

kuepuka
1.kununua simu vichochoroni

2.kutuma hela ukatarija kutumiwa simu

3.kununua simu bila kuichunguza(hua wanakuharakisha)

4.kununua simu bila kubaki na kithibitisho chochote cha aliekuuzia na mauziano.

5.Kununua simu ambayo ni nzima lkn muuzaji haitumii(offline), au mwambie aweke laini yake awasiliane na baadhi ya watu wake, akikataa kimbia

6.kununua simu hasa hizi za gharama(high ends)kwa bei chee sana au muuzaji anakuambia exchange allowed bila kuweka conditions zozote(huyu anachotoka simu imuondokee tuu, jiulize kwa nini?) kwa ufupi huyu anauzia simu tatizo sio shida(jitahd uelewe hapo)

7.kununua simu iliyobadilishwa imei,

8.kununua simu iliyo kwenye lock.
N.k n.k..

Yaani kikubwa sio kuuziwa simu fake, mbovua au nini inshu kwa sasa nikuuziwa simu ya wizi halaf wakai trace ukadakwa nayo wewee.... Aloooo utasaga menoo...nina ushahidi na hizi case sanaa, watu wanalizwa sanaaa
Pale unapoambiwa marehemu kabla ya kuibiwa alibakwa na watu zaidi ya wawili tunahiji ututajie wenzako mliokuwa nao.
 
kwa nn usichukue SM-955F/FD(D for dual sim) Ambayo ni global/international Model?
Hio SM-955U ni USA-Unlocked,
kuna uwezekano ikakusumbua Network strength sbb umebadilisha zone.

Hii kitu watu wanachukulia poa ila ni vizuri sana ukinunua simu hasa samung ambao hutengeneza simu kuendana na zones,

Japo models zinazoishia na ...U au ...0 angalau ila best ni F/FD/DS....
Hizo ndio international na hata uende nchi gani utaitumia km ilivyo na haisumbui network n.k

Ukiona Samsung mwishoni mwa model inaishia na
A, Z, N, P, V, W, R4
jua umeuziwa carrier unlocked,
kwa vyovyote vile itakua ni used...

Yaani ni kama vile huku kwetu, Tigo anaingia ubia na Tecno amsaidie kutangaza na kuuza simu zake kwa bei ya chini, lkn tigo nae ana mpa mashart lazima Hii simu Tui LOCK kwa laini yetu,
kwaio unaenda Tigo Shop kununua simu ya tecno(mara nyingi tunasikia zinatangazwa na tigo),
na Moja ya mashart ni kwamba lazima laini moja iwe ya Tigo(hii ndio carries LOCKED sasa)

Ukitaka kutumia laini zote basi utalazimika kwenda kwa wa taaalam wai UN-LOCK(sisi tunaita ku flash japo sio lugha sahihi sana maana lugha nzuri ni ku unlock, neno ku flash hii lugha miaka ya nyuma kdg ilikua common sana kpnd kile tunanunua vile vi simu ya vodafone n.k)

Sasa hizo simu zenye hio Models hapo juu
Mfano ukaona inaishia na V, T au A
inamaanisha ni Verizon, T-Mobile au AT&T respectively,

Hio ni mitandao ya simu ya specificaly Marekani Km sisi tunavyosema vodacom, tigo Airtel imeingia ubia na samsung watengeneze simu maalum kwa mitandao yao,
mashart wanayowapa samsung ni kwamba ziuzwe kwa bei nafuu na pia zifungwe zitumie lain moja ya mtandao husika.

Kwahio samsung wao wanafaidika kwa simu zao kuuzwa kwa urahisi na haraka sbb ya matangazo mengi na upatikanaji rahisi,
na Mtandao husika nao unafaidika kwa kupata Wateja weng maana watu watafuata kilichorahisi na itabidi wafuate masgart ya kutumia laini ya wauzaji kwa angalau miaka miwili.

Kwa hio ikishaisha ile miaka miwili(mtumiaji lazima ufuate taratibu/mkataba ukikiuka uka i flash kabla ya miaka iliyowekwa ni kosa) ndio unakuta mtu anaweza kui Unkock,

Sasa mtu akiichoka anataka kuiuza ije africa atalazimika ku i unlock kama tunavyoita ku flash, halaf inaletwa huku...
Ndio unauziwa ww, kwaio piga ua hio simu lazima iwe used haijalishi kwa mda gani ila nyingi ni miaka miwili na kuendelea.

Lakn hii haimanishi hizo
F/FD/DS basi zote Ni mpya....
Cha kuelewa tu ni kwamba hizo zinatumika kimataifa na zinatumia laini zote,
kwaio pia mtu anaweza itumia ktk nchi nyingne akaiuza ikaja huku.

Akili kwako...
Za kuambiwa changanya na zako ....
Neno langu si sheriaaa.....

upendo na amani.
Asante Sana mkuu nikitaka kununua Samsung Nitakutafuta
 
Naona mnauza vyombo vya mawasiliano.. At least Samsung kwa mbaali.. Haha natania

wazee kuna mtu anataka hzi mashne Sonyexperia na blackberry Android edition au wenye BB classic.. Mnishtue
 
Natafuta kioo cha lenovo K5vibe picha hii hapa ntapata wapi
Screenshot_20191116-200149.jpeg
 
Hotwav 6, 3gb ram, 32gb. Front camera 8.0 MP and back camera 16 MP Hd.

And Hotwav G8. Hii ni 230,000. Full box.

Only Kwa 170,000 full box. Check me out on WhatsApp 0679375111.

IMG-20191116-WA0001.jpeg
IMG-20191116-WA0002.jpeg
IMG-20191116-WA0000.jpeg
IMG-20191113-WA0021.jpeg
IMG-20191113-WA0022.jpeg
 
Attachments

  • IMG-20191115-WA0011.jpeg
    IMG-20191115-WA0011.jpeg
    39.6 KB · Views: 1
  • IMG-20191115-WA0012.jpeg
    IMG-20191115-WA0012.jpeg
    34.6 KB · Views: 1
  • IMG-20191116-WA0001.jpeg
    IMG-20191116-WA0001.jpeg
    19.8 KB · Views: 1
Kama watz wangekuwa wananunua simu uwezo na bei nafuu hii ndio size yetu na inatufaa sana lakini tatizo jina. Mtu yuko tayari kununua Samsung grand prime yenye GB 8 kwa 250k kuliko hiyo ya 32GB kisa jina hahahaaaa
Hotwav 6, 3gb ram, 32gb. Front camera 8.0 MP and back camera 16 MP Hd.

And Hotwav G8. Hii ni 230,000. Full box.

Only Kwa 170,000 full box. Check me out on WhatsApp 0679375111.

View attachment 1264671View attachment 1264672View attachment 1264675View attachment 1264676View attachment 1264681
 
Umeona Mkuu. Hahaha.
Kama watz wangekuwa wananunua simu uwezo na bei nafuu hii ndio size yetu na inatufaa sana lakini tatizo jina. Mtu yuko tayari kununua Samsung grand prime yenye GB 8 kwa 250k kuliko hiyo ya 32GB kisa jina hahahaaaa
 
iPhone 6 plain 16GB mpya full boxed bei ni 350K,
iPhone 6 plus 16GB mpya full boxed bei ni 450K,
iPhone 6 plus 64GB mpya full boxed bei ni 500K,
#0687489355
16D14617-6141-4FFE-AE08-2BE7AE42034E.jpeg
FA695215-9350-4603-86F2-F1AAFCE59655.jpeg
 
Iphone X
Very clean with full accessories
Location Dar ukonga
Ram 6gb
Rom 256gb
Goes cheap at 1.3M negotiable
Contacts whatsapp 0769939879
Offline 0692804893
Instagram @used_phones_point_tz
IMG_20191120_161135_606.jpeg
IMG_20191120_161135_604.jpeg
IMG_20191120_161135_605.jpeg
 
Similar Discussions

63 Reactions
Reply
Back
Top Bottom