Wauza smartphone tukutane hapa

Iphone 8 plus 64gb
Kuna rose gold na black
Zipo full box
Bei 1,250,000
Warranty mwaka mmoja.

Nichek PM au 0654 910 120 (call, sms, whatsapp)
00000IMG_00000_BURST20191022121927909_COVER.jpeg
 
Wakuu mie nataka simu za button hizi ndogo like itel, bontel, Nokia je kwa bei ya jumla ntapata bei gani maana ndo nataka kuanza hii biashara huko kijijini kwetu so msaada pls
 
Samsung Galaxy A70 (128 gb) Slightly used

Color Shining Black
Memory 128 gb
Ram 6 gb
Slots Duos
A free Glass protector + A free back cover

Price 650,000/-

Contacts 0652332255

Location Agrey st Kariakoo + A free delivery

20191023_070630.jpeg
20191023_070732.jpeg
20191023_070202.jpeg
 
Samsung Galaxy A80 (128 gb) New Full Box

Color Ghost White
Memory 128 gb
Ram 8 gb
Rotating Camera
Comes with a free back cover and Glass Protector

Price 1,200,000/-

Contacts 0652332255

Location Agrey st Kariakoo + A free delivery

20190110_195946.jpeg
20190110_195703.jpeg
20190110_200158.jpeg
20190110_200232.jpeg
 
Betri orginal ya note 4 naweza pata wapi hapa mjini
Betri ya hizo note 4 ni mtihani boss.
Kwanza kupata OG sio rahisi kabisaaaa
Utauziwa betri unaambiwa ni OG kwa 30K lakini inakaa na chaji masaa kadhaa imeisha bora ununue zile za kichina 15K.

Simu ya Note 4 kwa ujumla ni pasua kichwa.

I speak from experience
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom