mohame kholani
Senior Member
- Jan 1, 2018
- 144
- 103
I phone 6s
64gb
Color Silver
Bei Tsh 400,000/=
Nauza
0712-430 116
64gb
Color Silver
Bei Tsh 400,000/=
Nauza
0712-430 116
Vp mkuu nicheck mp
Kwenye kioo apo kunashida gani mbona Kama imekanyagwa.
matapeli na wasio matapeli wote wamo,
inshu ipo jee utaangukia mikononi mwa yupi? Utamjuajee?
Cha msingi nikujarb kupunguza risk angalau kwa:
kuepuka
1.kununua simu vichochoroni
2.kutuma hela ukatarija kutumiwa simu
3.kununua simu bila kuichunguza(hua wanakuharakisha)
4.kununua simu bila kubaki na kithibitisho chochote cha aliekuuzia na mauziano.
5.Kununua simu ambayo ni nzima lkn muuzaji haitumii(offline), au mwambie aweke laini yake awasiliane na baadhi ya watu wake, akikataa kimbia
6.kununua simu hasa hizi za gharama(high ends)kwa bei chee sana au muuzaji anakuambia exchange allowed bila kuweka conditions zozote(huyu anachotoka simu imuondokee tuu, jiulize kwa nini?) kwa ufupi huyu anauzia simu tatizo sio shida(jitahd uelewe hapo)
7.kununua simu iliyobadilishwa imei,
8.kununua simu iliyo kwenye lock.
N.k n.k..
Yaani kikubwa sio kuuziwa simu fake, mbovua au nini inshu kwa sasa nikuuziwa simu ya wizi halaf wakai trace ukadakwa nayo wewee.... Aloooo utasaga menoo...nina ushahidi na hizi case sanaa, watu wanalizwa sanaaa
Chukua 150,000NEXUS 6P SPECS.
Google Nexus 6p
Clean as New
Ram 3 Gb
Internal 32 gb
Battery 3450 mAh
Well functioning fingerprint sensor
Usb Type C
Camera kali sana (portrait mode, nightsight,4k videos)
Simu kubwa
Second hand imported
bei 290,000
nipo Sinza
piga or text 0682521021 if interestedView attachment 1238165View attachment 1238167View attachment 1238169
hapana mzee top 250k ngoma kali kuliko misamsung yote kwanzia s7 kushuka chini , mostly camera yake ipo posh sanaChukua 150,000
Nimekufuata pm.hapana mzee top 250k ngoma kali kuliko misamsung yote kwanzia s7 kushuka chini , mostly camera yake ipo posh sana
Bonyeza link hio ili kujiunga ktk groupSale group used and new karibun ktk group la sale sale new and used kwa wanawake kujipatia bidhaa mbal mbal za majumbn nguo n.k vinginevyo vingi mnakaribishwa
Nimekufuata inbox upo kimya.NEXUS 6P SPECS.
Google Nexus 6p
Clean as New
Ram 3 Gb
Internal 32 gb
Battery 3450 mAh
Well functioning fingerprint sensor
Usb Type C
Camera kali sana (portrait mode, nightsight,4k videos)
Simu kubwa
Second hand imported
bei 290,000
nipo Sinza
piga or text 0682521021 if interestedView attachment 1238165View attachment 1238167View attachment 1238169