verbs
Member
- Oct 14, 2019
- 22
- 11
Akuna utapeli mzigo una letewa ulipoHiv humu hakuna utapel kweli? Mana kuna simu nimeiona na hela ipo, shida utapeli mjin hapa..mi niko huku duniani!
Akuna utapeli mzigo una letewa ulipoHiv humu hakuna utapel kweli? Mana kuna simu nimeiona na hela ipo, shida utapeli mjin hapa..mi niko huku duniani!
Naitaka nakupatajeWauzaji wa Computer Desktop tukutane hapa..
naanza na mm mwenyewe nauza computer aina ya hp ..ina smart slim monitor inch 27 cpu (hp) 2gb ram hdd 250gb ina keyborad mouse+mat zote (hp) vga cable na powercable zote zipo ni mpya kimuonekano na kipicha pia.. location Dodoma bei laki 3 na sabini (370k)www.jamiiforums.com
nauza desktop Computer ya kisasa kabisa monitor hp smart slimm( nyembamba ) kubwa kioo inch 27 cpu( hp) ram 2gb hdd250gb ...vga,powercable,keyboard na mouse vipo... ipo vzuri ni mpya
location Dodoma
bei 370k
View attachment 1234885View attachment 1234886View attachment 1234887
njoo wasap 0752992703 mkuu karibu sanaNaitaka nakupataje
wasap au piga au mesej za kawaida..au nipe nambakonjoo wasap 0752992703 mkuu karibu sana
Nauza samsung Galaxy A6plus
Ram 3
Internal 32gb
Camera iko poa sana selfie 24
Back 16
Betri inakaa na chaji sana kwa wanaotumia A series watakuwa wanaelewa ninachosema
Bei 370k
Imetumika mwezi moja na wiki mbili kila kitu chake kipo.View attachment 1235831
Simu ilobadilishwa imei unaijuaje mkuu??matapeli na wasio matapeli wote wamo,
inshu ipo jee utaangukia mikononi mwa yupi? Utamjuajee?
Cha msingi nikujarb kupunguza risk angalau kwa:
kuepuka
1.kununua simu vichochoroni
2.kutuma hela ukatarija kutumiwa simu
3.kununua simu bila kuichunguza(hua wanakuharakisha)
4.kununua simu bila kubaki na kithibitisho chochote cha aliekuuzia na mauziano.
5.Kununua simu ambayo ni nzima lkn muuzaji haitumii(offline), au mwambie aweke laini yake awasiliane na baadhi ya watu wake, akikataa kimbia
6.kununua simu hasa hizi za gharama(high ends)kwa bei chee sana au muuzaji anakuambia exchange allowed bila kuweka conditions zozote(huyu anachotoka simu imuondokee tuu, jiulize kwa nini?) kwa ufupi huyu anauzia simu tatizo sio shida(jitahd uelewe hapo)
7.kununua simu iliyobadilishwa imei,
8.kununua simu iliyo kwenye lock.
N.k n.k..
Yaani kikubwa sio kuuziwa simu fake, mbovua au nini inshu kwa sasa nikuuziwa simu ya wizi halaf wakai trace ukadakwa nayo wewee.... Aloooo utasaga menoo...nina ushahidi na hizi case sanaa, watu wanalizwa sanaaa
asante kwa ujumbe mzuri ndugu tujitahd kufanya biashara kwa werevu..usifanye kitu chenye risk kisa umemwamin anaetaka kukuuzia.matapeli na wasio matapeli wote wamo,
inshu ipo jee utaangukia mikononi mwa yupi? Utamjuajee?
Cha msingi nikujarb kupunguza risk angalau kwa:
kuepuka
1.kununua simu vichochoroni
2.kutuma hela ukatarija kutumiwa simu
3.kununua simu bila kuichunguza(hua wanakuharakisha)
4.kununua simu bila kubaki na kithibitisho chochote cha aliekuuzia na mauziano.
5.Kununua simu ambayo ni nzima lkn muuzaji haitumii(offline), au mwambie aweke laini yake awasiliane na baadhi ya watu wake, akikataa kimbia
6.kununua simu hasa hizi za gharama(high ends)kwa bei chee sana au muuzaji anakuambia exchange allowed bila kuweka conditions zozote(huyu anachotoka simu imuondokee tuu, jiulize kwa nini?) kwa ufupi huyu anauzia simu tatizo sio shida(jitahd uelewe hapo)
7.kununua simu iliyobadilishwa imei,
8.kununua simu iliyo kwenye lock.
N.k n.k..
Yaani kikubwa sio kuuziwa simu fake, mbovua au nini inshu kwa sasa nikuuziwa simu ya wizi halaf wakai trace ukadakwa nayo wewee.... Aloooo utasaga menoo...nina ushahidi na hizi case sanaa, watu wanalizwa sanaaa
Sale sale kwa laki 270 s7edge inacreak ila inatumika bila tatizo lolote location magomen karbuni sana no za cm 0679023545View attachment 1235922View attachment 1235923View attachment 1235924View attachment 1235925
kula 90k ndugutecno j 8 haijawai kuguswa na fundi. 140k. nicheck 0654245367View attachment 1235728View attachment 1235729View attachment 1235730View attachment 1235731
For sale
Samsung a10
Used like new
No any scratches
Bei 250000 View attachment 1215582View attachment 1215583View attachment 1215584
Vp mkuu nicheck mpSale sale kwa laki 270 s7edge inacreak ila inatumika bila tatizo lolote location magomen karbuni sana no za cm 0679023545View attachment 1235922View attachment 1235923View attachment 1235924View attachment 1235925