pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 4,643
- 3,020
A40,A60 vipi
Boss umeambiwa ni ushauri,ili kulinda biashara yako zaidi.Watu wa Jamii forums ni wajuaji sana kuna Mteja kaja dukani anataka samsung s7edge kaletewa simu mbili sealed kafungua zote mwisho wa siku anasema simu sio OG kisa hazimatch na TCRA kaondoka bila kufanya chochote. Nilielewa jamaa hakuwa na pesa akaleta ujuaji mwingi akipita hapa ataona, na wewe punguza ujuaji unless unafanya biashara unaagiza mzigo unajua faida.
Umeongea ufalaBoss umeambiwa ni ushauri,ili kulinda biashara yako zaidi.
Unanyanyua visigino hapa mpaka china,unakwenda kukusanya iphone six uje uuze laki 5 au 4,simu ambayo imesitishiwa update.au nanyinyi wauzaji mna kaushamba ka asili????.
Mmeshauriwa humu leteni samsung za bei chee,xiaomi,oppo nk mmekomaa na matecno na infinix,hatuwezi tegemea mtutendee miujiza katika iphone.
Kuhusu mteja kukata ribit huo ni uzembe wako,unafunguaje simu mteja hajatoa hela??kiutaratibu kunakuwa na simu ya kukagua kwenye meza,anakagua akiridhika anahesabu pesa inafuatwa store kwenye box anapewa anasepa.
iPhone X 64GB brand new
Price:Tsh 1,700,000
Colour: space Grey
Location: Dar es salaam, SINZA Madukani
Info: 0714 036595
nimerudia mara tatu kusoma aya tatu za mwanzo hata km haziendani na mada nikahisi pengne labda zinaujumbe unaoeleweka, kila nikisoma naona kila sentesi inajitegemea,Boss umeambiwa ni ushauri,ili kulinda biashara yako zaidi.
Unanyanyua visigino hapa mpaka china,unakwenda kukusanya iphone six uje uuze laki 5 au 4,simu ambayo imesitishiwa update.au nanyinyi wauzaji mna kaushamba ka asili????.
Mmeshauriwa humu leteni samsung za bei chee,xiaomi,oppo nk mmekomaa na matecno na infinix,hatuwezi tegemea mtutendee miujiza katika iphone.
Kuhusu mteja kukata ribit huo ni uzembe wako,unafunguaje simu mteja hajatoa hela??kiutaratibu kunakuwa na simu ya kukagua kwenye meza,anakagua akiridhika anahesabu pesa inafuatwa store kwenye box anapewa anasepa.
Mkuu chukua 400k km bado ipoRedmi note 7 Pro inauzwa.
Storage 128GB
Ram 6GB
Battery 4000mAh
Kamera iko njema sana
Imenunuliwa July mwishoni, kila kitu kipo mpaka risiti utapewa.
Bei 600,000 Tsh.
Sababu ya kuuza: Nataka hela nimefulia
Iko Dar
Mawasiliano: natokahapa@gmail.com
Au PM
View attachment 1226340View attachment 1226341View attachment 1226342View attachment 1226343View attachment 1226344View attachment 1226345View attachment 1226346View attachment 1226347
Simu yoyote yenye uwezo wa intanet wa 3G, iwe smart ama feature...ofa 50,000
Huawei mate 9 laki3
matapeli na wasio matapeli wote wamo,Hiv humu hakuna utapel kweli? Mana kuna simu nimeiona na hela ipo, shida utapeli mjin hapa..mi niko huku duniani!
Ndio mkuuunaiuza ?