Wauza smartphone tukutane hapa

Sale sale 280.000 tuuu s7edge 32gb location magomen
IMG-20191008-WA0020.jpeg
IMG-20191008-WA0018.jpeg
IMG-20191008-WA0016.jpeg
IMG-20191008-WA0017.jpeg
 
Watu wa Jamii forums ni wajuaji sana kuna Mteja kaja dukani anataka samsung s7edge kaletewa simu mbili sealed kafungua zote mwisho wa siku anasema simu sio OG kisa hazimatch na TCRA kaondoka bila kufanya chochote. Nilielewa jamaa hakuwa na pesa akaleta ujuaji mwingi akipita hapa ataona, na wewe punguza ujuaji unless unafanya biashara unaagiza mzigo unajua faida.
Boss umeambiwa ni ushauri,ili kulinda biashara yako zaidi.

Unanyanyua visigino hapa mpaka china,unakwenda kukusanya iphone six uje uuze laki 5 au 4,simu ambayo imesitishiwa update.au nanyinyi wauzaji mna kaushamba ka asili????.

Mmeshauriwa humu leteni samsung za bei chee,xiaomi,oppo nk mmekomaa na matecno na infinix,hatuwezi tegemea mtutendee miujiza katika iphone.

Kuhusu mteja kukata ribit huo ni uzembe wako,unafunguaje simu mteja hajatoa hela??kiutaratibu kunakuwa na simu ya kukagua kwenye meza,anakagua akiridhika anahesabu pesa inafuatwa store kwenye box anapewa anasepa.
 
Bado natafuta Sony experia
 
Attachments

  • tapatalk_1570779094651.jpeg
    tapatalk_1570779094651.jpeg
    33.4 KB · Views: 1
  • tapatalk_1570779092282.jpeg
    tapatalk_1570779092282.jpeg
    23.9 KB · Views: 1
  • tapatalk_1570779089634.jpeg
    tapatalk_1570779089634.jpeg
    27.4 KB · Views: 1
Boss umeambiwa ni ushauri,ili kulinda biashara yako zaidi.

Unanyanyua visigino hapa mpaka china,unakwenda kukusanya iphone six uje uuze laki 5 au 4,simu ambayo imesitishiwa update.au nanyinyi wauzaji mna kaushamba ka asili????.

Mmeshauriwa humu leteni samsung za bei chee,xiaomi,oppo nk mmekomaa na matecno na infinix,hatuwezi tegemea mtutendee miujiza katika iphone.

Kuhusu mteja kukata ribit huo ni uzembe wako,unafunguaje simu mteja hajatoa hela??kiutaratibu kunakuwa na simu ya kukagua kwenye meza,anakagua akiridhika anahesabu pesa inafuatwa store kwenye box anapewa anasepa.
Umeongea ufala
 
iPhone X 64GB brand new
Price:Tsh 1,700,000
Colour: space Grey
Location: Dar es salaam, SINZA Madukani
Info: 0714 036595
 
Attachments

  • 2BBAF32D-2FEF-494C-BBD6-EC3D59CD8EEF.jpeg
    2BBAF32D-2FEF-494C-BBD6-EC3D59CD8EEF.jpeg
    46.5 KB · Views: 1
Boss umeambiwa ni ushauri,ili kulinda biashara yako zaidi.

Unanyanyua visigino hapa mpaka china,unakwenda kukusanya iphone six uje uuze laki 5 au 4,simu ambayo imesitishiwa update.au nanyinyi wauzaji mna kaushamba ka asili????.

Mmeshauriwa humu leteni samsung za bei chee,xiaomi,oppo nk mmekomaa na matecno na infinix,hatuwezi tegemea mtutendee miujiza katika iphone.

Kuhusu mteja kukata ribit huo ni uzembe wako,unafunguaje simu mteja hajatoa hela??kiutaratibu kunakuwa na simu ya kukagua kwenye meza,anakagua akiridhika anahesabu pesa inafuatwa store kwenye box anapewa anasepa.
nimerudia mara tatu kusoma aya tatu za mwanzo hata km haziendani na mada nikahisi pengne labda zinaujumbe unaoeleweka, kila nikisoma naona kila sentesi inajitegemea,

Aya ya mwisho binafsi naona ndio yenye ushauri mzuri zaid kwa mtoa mada.
 
Redmi note 7 Pro inauzwa.
Storage 128GB
Ram 6GB
Battery 4000mAh
Kamera iko njema sana
Imenunuliwa July mwishoni, kila kitu kipo mpaka risiti utapewa.

Bei 600,000 Tsh.
Sababu ya kuuza: Nataka hela nimefulia

Iko Dar
Mawasiliano: natokahapa@gmail.com
Au PM

View attachment 1226340View attachment 1226341View attachment 1226342View attachment 1226343View attachment 1226344View attachment 1226345View attachment 1226346View attachment 1226347
Mkuu chukua 400k km bado ipo
 
Nauza simu aina ya samsung galaxy s5

Ram 2 gb

Storage 16 gb

Fingerprinte yes

Simu ipo kwenye hali nzur kabisa

Bei laki moja na 40

Mawasiliano

0719590757

0692792519
IMG-20191011-WA0015.jpeg
IMG-20191011-WA0008.jpeg
IMG-20191011-WA0011.jpeg
IMG-20191011-WA0013.jpeg
 
HUAWEI NOVA 4
Clean as new

Ram 8gb
Internal memory 128gb
Camera 48M.P / 25 M.P(potrait)
Inakaa sana charge
Location DSM
FOR BUSINESS AND PICS WHATSAP ME 0692583484

Price 700k
 
Hiv humu hakuna utapel kweli? Mana kuna simu nimeiona na hela ipo, shida utapeli mjin hapa..mi niko huku duniani!
matapeli na wasio matapeli wote wamo,
inshu ipo jee utaangukia mikononi mwa yupi? Utamjuajee?

Cha msingi nikujarb kupunguza risk angalau kwa:

kuepuka
1.kununua simu vichochoroni

2.kutuma hela ukatarija kutumiwa simu

3.kununua simu bila kuichunguza(hua wanakuharakisha)

4.kununua simu bila kubaki na kithibitisho chochote cha aliekuuzia na mauziano.

5.Kununua simu ambayo ni nzima lkn muuzaji haitumii(offline), au mwambie aweke laini yake awasiliane na baadhi ya watu wake, akikataa kimbia

6.kununua simu hasa hizi za gharama(high ends)kwa bei chee sana au muuzaji anakuambia exchange allowed bila kuweka conditions zozote(huyu anachotoka simu imuondokee tuu, jiulize kwa nini?) kwa ufupi huyu anauzia simu tatizo sio shida(jitahd uelewe hapo)

7.kununua simu iliyobadilishwa imei,

8.kununua simu iliyo kwenye lock.
N.k n.k..

Yaani kikubwa sio kuuziwa simu fake, mbovua au nini inshu kwa sasa nikuuziwa simu ya wizi halaf wakai trace ukadakwa nayo wewee.... Aloooo utasaga menoo...nina ushahidi na hizi case sanaa, watu wanalizwa sanaaa
 
Aise hivi mpaka leo kuna watu wananunua simu za mkononi kwa dunia ya leo? Mtakuja kupata kesi ambazo hazina dhamana shauri yenu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom