Mr worldwide
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 348
- 737
Wauza simu humu hamuonekani
I phone 6 ,Touch unatengeneza kwa sh ngapi?
Wakuu nahitaji smartphone yenye Hali nzuri kwa bajeti ya 100000
Sorry laki 3Laki 300 au laki 3?
A50 (128 gb) Brand new sealed.
600,000/-
Pouwa njoo uchukue kwa elfu 80
Mkuu nahitaji Nokia X2-00 yenye red lines pembeniOld is good
nokia
e72 = 160k,
e71 = 150k,
e63 = 150k,
N86 8mp & 8gb = 170k,
8110 DUOS 4G WITH WHATSAPP = 170k,
asha 302 = 150k,
c1 = 110k,
c5 = 120k.
Simu zote ni used but clean from uk.
nipo bagamoyo, kwa wateja wa tanga, arusha na hasa dar twaweza fanya biashara.
unapata na charge tu.View attachment 1221237
View attachment 1221238View attachment 1221239
simu ambayo huioni katk picha husika ujue ndio ilitumika kupigia picha.
Pia waweza kuweka oda ya simu unayoitaka, nikuagizie kwa hela ulipe ukipokea mzigo, cha msing usiwe mbabaishaji.