Wauza smartphone tukutane hapa

Nazitafuta hizi, mwenye nazo aje nimpe pesa...
Hua zinakuja na Huawei,au Honor nazitaka sana
IMG_20180330_090624.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna nyeupe tupu mkuu,mana nyingi zina sura ile ile ipe lakini ni za mchina (fake)

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwanza elewa most ya accessories zilizopo madukani hapa TZ nyingi ni fake ukikuta OG nyingi bei ghali, kwa upande wangu huwa sileti bidhaa fake. Na kuhusu upande wa rangi zipo model mbili AM115 na AM116 ila zote ni quality sawa, kuna QR code ya kuhakiki ubora.
Karibu.
IMG-20190212-WA0021.jpeg
IMG-20190212-WA0018.jpeg
IMG-20190212-WA0012.jpeg
IMG-20190212-WA0014.jpeg


Copyright 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom