Elias 20
Senior Member
- Nov 11, 2017
- 198
- 75
Mbona unauza machine mkuu aisee me ninayo kama hiyo inakaa na charge hatareeeeMOTOROLA E4 PLUS.. ina fingerprint clean Ram 3gb, Internal 32gb, ina 4g sh@280000
No:0714018677View attachment 991793View attachment 991794View attachment 991795View attachment 991796View attachment 991798
Sent using Jamii Forums mobile app
Inauzwa Samsung A8
32 GB storage
16 MP
Ina fingerprint
bei 250,000
Mbeya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unauza machine mkuu aisee me ninayo kama hiyo inakaa na charge hatareeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kula 100000 tufanye biasharaTECNO C8 bei 150k nichek 0769444427View attachment 980005View attachment 980006
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe mimi hii.Wale wapenda kitonga kuna huu mzigo hapa very clean, kwa Maana bei na specs halali mmegoma basi
Nauza iphone 7s plus tsh 250,000 tu.
specs:
Haiwaki,
haina motherboard,
haina housing,
haina kioo,
inakaa na charge kwa mda wote itakaokua kwenye umeme ukiichomoa tu inazima ili kutunza charge hivyo kuendana na kasi ya rais ya kubana matumizi,
Ina nyimbo za ccm mbele kwa mbele na mtaisoma namba,
ina picha ya rais wetu mtukufu, polepole, bomberdia na panga boy,
inaingia battery tatu za National Panasonic
PM Only 4 serious buyer, u can see how serious i am.
UJUMBE WA LEO,
ndio kwanza ter 12 january.
Imetumika mwezi tuElectronic scooter nauza
Iko safi kabisa
Imetulia kama unavyo ona
Bei 1.2 million
Nipigie au nichek what's app kwa 0787119969 View attachment 992477View attachment 992478View attachment 992479View attachment 992480View attachment 992481View attachment 992482
Sent using Jamii Forums mobile app
Simu gani hiiElectronic scooter nauza
Iko safi kabisa
Imetulia kama unavyo ona
Bei 1.2 million
Nipigie au nichek what's app kwa 0787119969 View attachment 992477View attachment 992478View attachment 992479View attachment 992480View attachment 992481View attachment 992482
Sent using Jamii Forums mobile app