Mundenga
Senior Member
- Feb 26, 2017
- 142
- 213
Mzee kila kona upo😂Nikupatie nokia 6 uniongeze 150k
Nikupe "K" ngapi na J3 (2016) uniachie hiyo Nokia 6.
Mzee kila kona upo😂Nikupatie nokia 6 uniongeze 150k
Mzee kila kona upo
Nikupe "K" ngapi na J3 (2016) uniachie hiyo Nokia 6.
Nimekukubali mzee wa kazi. ..Unfortunately nshauza nokia 6. Ipo note 5. Nataka 450. Ukinipa na ya kwako j3 unaongeza 220.
Kuna 300k iko mfuko wa sharti
Duh... hiyo hapana. ThxKuna 300k iko mfuko wa sharti
Kuna 300k iko mfuko wa sharti
Mwenye iPhone 6s+ au Samsung s6+ edge aje pm na bei pamoja na picha.