Nna taka io nokia lumia 620 nna mia thelathini na nnakuongezea sm yang bio kam tukikubalianaMi ninazo ila hazina sifa ulizoziweka 1. Zote ni Single Sim(line 1) 2. Ni Nokia Lumia 620 Black na Nokia Lumia 630 Hii bado mpya kabisa ila ina makava mawili moja ni Black na lingine ni Green kwa hiyo unajichagulia unataka simu iwe na mwonekano wa rangi gani hivyo kama hautojali naweza kukuuzia zote mbili kwa laki 3. Note: Zote zinatumia Windows 8.1
If I can given 150000 & and my bio smartphone I that fine 4 u to exchange like thatTecno C8 in good condition going cheap at only 250,000
Contact 0773222111View attachment 328116View attachment 328118
simu yako ni aina gani?Nna taka io nokia lumia 620 nna mia thelathini na nnakuongezea sm yang bio kam tukikubaliana
Weka bax pcha na specification zake tufke dau and uxsahau kuweka na beiHabari wadau, kwa anaehitaji simu zifuatazo tuwasiliane
Vega no. 6
Vega Iron
Samsung Galaxy Grand
LG Optimus LTE II
Note II
Vega Secret Up
Samsung Galaxy Win
Pia Samsung Galaxy Tab 7 inch inapatikana ambayo unaweza kuweka simcard na kutumia kwa kupiga simu na kufanya mobile transaction eg. tigopesa, m-pesa etc
Vitu vyote ni bidhaa kutoka Korea.
Weka picha zake na ata specification zake ili watu wavtiwe kufka beiNauza Galaxy note 2, mpya. Imetumika siku 2 tu, ina screen protector,cover ya nyuma na chaji. Bei ni 300k fixed. Kwa aliye serious anitafute kwa 0755783420 nipo Dar.
Specs zinatofautiana kutoka simu moja na nyingine, halikadhalika bei pia. Taja ambayo upo interested nayo nitakupa details zake.Weka bax pcha na specification zake tufke dau and uxsahau kuweka na bei
Note ||Specs zinatofautiana kutoka simu moja na nyingine, halikadhalika bei pia. Taja ambayo upo interested nayo nitakupa details zake.
Tumia Kiswahili, unajiaibisha bure hujui kiingereza hata kidogo.If I can given 150000 & and my bio smartphone I that fine 4 u to exchange like that
Hahahaha labda ndio yupo kwa ras simbaTumia Kiswahili, unajiabisha bure hujui kiingereza hata kidogo.
Ww had kswhil unakosea unajiabisha ndo nn amna noma kk nmekusoma ni makosa tu yakiuandshTumia Kiswahili, unajiabisha bure hujui kiingereza hata kidogo.
ninayo BT nakutolea kwenye cm yanguNahitaji battery ya htc desire 816