Wauza mafuta wayaficha iliwauze kwa bei ya juu baada ya tarehe 1 July wapate faida kubwa

Ta Muganyizi

R I P
Oct 19, 2010
5,361
2,736
Huku Bukoba wafanyabiashara wa mafuta wameficha mafuta na kuna shida kubwa na foleni ya watu wanaohitaji mafuta. Wameyaficha ili siku bajeti ya mwaka huu ikianza kufanya kazi July 1 wauze kwa bei ya juu na wapate faida maradufu. Tayari isha kuwa Tabu. Serikali isipoingilia suala hili basi tena.
 
Tatizo kubwa sana la vitu muhimu kama mafuta,vyombo vya usafiri nk kuwa ni vya watu binafsi ambapo serikali haina vitu kama hivyo.Hapo zamani za kale tulikuwa na vyombo kama Dodoma Retco,Moro Retco,UDA nk ambavyo vilikuwa chini ya serikali hii ilikuwa na maana kubwa sana.
Uliona wafanyabiashara wa mafuta walipogoma nchi iliyumba!!Daladala zikigoma matatizo matupu!!mabasi ya kwenda mikoani yakigoma!!!Hii ni hatari sana,wanaanzisha mradi wa mabasi Dar wanawaambia wananchi wanunue mabasi makubwa!!Serikali ilipashwa iwe ya kwanza kuagiza hayo mabasi.Ndio maana ukienda sehemu nyingine utakuta vituo vingi vya mafuta,vyombo vya usafiri(mpaka taxi)vinamilikiwa na serikali japo wananchi pia wanawezaanzisha vitu hivyo
 
Back
Top Bottom