Wauza madawa ya kulevya Mungu anawaona, Pauline Zongo yule uliyemjua si huyu, unga umemmaliza kabisa

Halafu wauza madawa wakiwa kwenye Vogue zao watu wanawasifia.
Mimi sio polisi lkn ningewachukua mateja Mia nawafungia mahali mpaka wamtaje anaewauzia, Kisha nawakamata wanaowauzia mateja mpaka wamtaje anauewapa mzigo, hivyo hivyo mpaka anaueingiza haya madawa. Mbona simple tu.
Serikali unashindwa Nini hapo?

Ama Ni kwa sababu waliokua wanauza madawa Sasa hivi Ni wabunge/madiwani/viongozi wa mpira etc??
The other alternative tufungue uzi humu wa kuwataja wanaoshukiwa kuuza madawa ya kulevya.
Katika hao tutakao wataja ninaimani asilimia 90 watakua Ni kweli.
Hakuna kumwonea mtu aibu especially wabunge/madiwa
Kuna uzi ulikuwepo walitajwatajwa sana kina Yanga na wengine, nadhani wameufuta

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Tangu JMK awe swahiba wa SSH madawa yamerudi kwa kasi. Kila yakishikwa wahusika wanaachiwa na madawa yanapotea soma wanarudishiwa.
Madawa yalikuwepo na yataendelea kuwepo
Ktk ulimwengu huu wa dunia,kikubwa we kama
We chukua tahadhari

Ova
 
Halafu wauza madawa wakiwa kwenye Vogue zao watu wanawasifia.
Mimi sio polisi lkn ningewachukua mateja Mia nawafungia mahali mpaka wamtaje anaewauzia, Kisha nawakamata wanaowauzia mateja mpaka wamtaje anauewapa mzigo, hivyo hivyo mpaka anaueingiza haya madawa. Mbona simple tu.
Serikali unashindwa Nini hapo?

Ama Ni kwa sababu waliokua wanauza madawa Sasa hivi Ni wabunge/madiwani/viongozi wa mpira etc??
The other alternative tufungue uzi humu wa kuwataja wanaoshukiwa kuuza madawa ya kulevya.
Katika hao tutakao wataja ninaimani asilimia 90 watakua Ni kweli.
Hakuna kumwonea mtu aibu especially wabunge/madiwa
Mkuu ni kazi kubwa sana ukitaka wakuwinde kama sungura wachokoze
 
Duuuuh kumbe ndio pauline zongo huyu huwa nakutana naye sana mitaa ya kinondoni moscow mcheshi sanaa akiniona oya big vipi ...pombe zimemharibu sana ,anakunywa sana mapombe ya kienyeji .sema mcheshi sana Mungu amsaidie kwa kweli
 
Halafu wauza madawa wakiwa kwenye Vogue zao watu wanawasifia.
Mimi sio polisi lkn ningewachukua mateja Mia nawafungia mahali mpaka wamtaje anaewauzia, Kisha nawakamata wanaowauzia mateja mpaka wamtaje anauewapa mzigo, hivyo hivyo mpaka anaueingiza haya madawa. Mbona simple tu.
Serikali unashindwa Nini hapo?

Ama Ni kwa sababu waliokua wanauza madawa Sasa hivi Ni wabunge/madiwani/viongozi wa mpira etc??
The other alternative tufungue uzi humu wa kuwataja wanaoshukiwa kuuza madawa ya kulevya.
Katika hao tutakao wataja ninaimani asilimia 90 watakua Ni kweli.
Hakuna kumwonea mtu aibu especially wabunge/madiwa
Ukiwataja watafanywa nini kwani hawajulikani?
Naomba kujua umri wako kwanza,maana kuna mdada wa kibongo alikamatwa na mzigo wa 9bills Oliver Thambo South akaenda kutolewa na waziri wa Tanzania km hili hulijui baasi jua hujui kitu na bado mtoto kua uyaone!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Mbona huwa anasema ni maisha tu yamempiga...na meno alipoteza baada ya kupata ajali...

Kilevi pekee anatumia ni pombe na sio ngada wala msuba...
Inasemekana aliolewa na Mtunisi, yule muigizaji, wakazaa mtoto, jamaa akampiga mali zake, sijui za urithi, mwana akaenda kuoa sijui shombe au mwarabu kabisa. Dada Pauline akavurugikiwa kuanzia hapo, sasa kama aliingia kujipoza na poda ndo wanaosema hawakusema, ila amechoka kama yule dada aliyeimba NITAREJEA na Domo, naye ilikuwa ni poda au issue za kiafya tu?
 
Back
Top Bottom