Wauza madawa ya kulevya Mungu anawaona, Pauline Zongo yule uliyemjua si huyu, unga umemmaliza kabisa

Now you are opening my eyes.
Swali moja tu nauliza.
Hii familia Ina shida ya pesa?
Au huyo dogo anashida gani? Kodi ya nyumba ya umma alikopanga halipi Kodi, mzee naye anashida gani?
Kumbe Mimi Nina Maisha mazuri sana pamoja na kwamba kwa siku natumia 10,000 tu kuanzia vocha, chai, mchana mpaka Cha jioni na nauli na Kuna siku change inabaki. Sasa Hawa jamaa zangu wasiotosheka na mabilioni waliyonayo wanategemea kuishi humu duniani Hadi lini?

Za kuambiwa changanya na zako. Usiwe mrahisi kuamini story kisa tu inamchafua mtu.
 
huyu dada stress za maisha pia zinamchanganya ni singo mother wa watoto wawili kila mtoto na baba ake alafu majamaa wote wawili wamemtelekeza na watoto so
Demu kashakuwa mjunki si unaona hivi hata wewe unaweza stick na mtu ka huyo sahizi?
 
Hivi wakina GK ,wako wapi si wamsaidie huyu bint,
GK mwenyewe kapoteza,,, wenye mitaji ni AY na FA walau wanaweza kuwainua hawa wenzao!

Sema kwa maisha ya bongo huenda walishapishana kauli ndio vile mioyo yetu mizito kusamehe basi dah!
 
Naskia Kuna mzungu amekuja ameleta mzigo mpya kabandika matangazo jiji zimaa maagent
Wa mbagala muende zakhem mkachukue mizigo yenu
 
Nimejikuta napata huruma ya ajabu sana baada ya kuona taarifa za binti huyu mitandaoni, hakika athari za kula madawa ya kulevya ni balaa! kakongoroka kabisa kabisa.

Pia, soma=> Msikilize Pauline Zongo wa East Coast Team, anasikitisha sana

View attachment 1954437


Naona wasamaria wema wameamua kumsaidia
 
Back
Top Bottom