Wauza madawa ya kulevya Mungu anawaona, Pauline Zongo yule uliyemjua si huyu, unga umemmaliza kabisa

huyu dada stress za maisha pia zinamchanganya ni singo mother wa watoto wawili kila mtoto na baba ake alafu majamaa wote wawili wamemtelekeza na watoto so
 
Unajidanganya. Kama kuna msanii anatumia na bado yuko sawa ujuwe sasa hivi angekuwa sawa mara mia!
Story ya kusadikika hiyo unaleta. Mimi naongea fact. Hao unaosema wangekua mara mia natamani kuwataja tuwapime kwenye mia yako. Ila as far as umetoa opinion basi. Na iwe kheri mkuu. Ila elewa nilichoandika.
 
Ukiwataja watafanywa nini kwani hawajulikani?
Naomba kujua umri wako kwanza,maana kuna mdada wa kibongo alikamatwa na mzigo wa 9bills Oliver Thambo South akaenda kutolewa na waziri wa Tanzania km hili hulijui baasi jua hujui kitu na bado mtoto kua uyaone!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Je, anajuwa ndege ya serkali ilienda Peking oops Beijing kumuokoa mtoto wa kigogo ambaye sasa ni mbunge!
 
kuna wakati kuishi maisha yako unaonekana mshamba flani na kuishi kizungu ndio maisha ya kisasa, mara shisha, mara cocaine, mara sigara yenye bangi. hapo uko na marafiki kibao wamekuzunguka, wanakusifia sifia, yakikukuta ya kukuta unabaki mwenyewe!
“Kile mtu apandacho, ndicho atakachovuna.”
 
Inasemekana aliolewa na Mtunisi, yule muigizaji, wakazaa mtoto, jamaa akampiga mali zake, sijui za urithi, mwana akaenda kuoa sijui shombe au mwarabu kabisa. Dada Pauline akavurugikiwa kuanzia hapo, sasa kama aliingia kujipoza na poda ndo wanaosema hawakusema, ila amechoka kama yule dada aliyeimba NITAREJEA na Domo, naye ilikuwa ni poda au issue za kiafya tu?

Pau Zongo dah, "maji yakishamwagika hayazoleki, maisha umeyachezea za mpenzi unajuta, sister sister". Haya maneno ya chorus aliyoyaimba yeye mwenyewe ni kama yamemrejea...

Yule Hawa ilikuwa ni issue za pombe kali, hasa machozi ya simba ambazo baadaye zikampelekea akapata changamoto za kiafya...
 
IMG_2265.jpg

Kachoka unawezadhania kichaaaa
 
Back
Top Bottom