Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 10,633
- 21,043
Now you are opening my eyes.
Swali moja tu nauliza.
Hii familia Ina shida ya pesa?
Au huyo dogo anashida gani? Kodi ya nyumba ya umma alikopanga halipi Kodi, mzee naye anashida gani?
Kumbe Mimi Nina Maisha mazuri sana pamoja na kwamba kwa siku natumia 10,000 tu kuanzia vocha, chai, mchana mpaka Cha jioni na nauli na Kuna siku change inabaki. Sasa Hawa jamaa zangu wasiotosheka na mabilioni waliyonayo wanategemea kuishi humu duniani Hadi lini?
Za kuambiwa changanya na zako. Usiwe mrahisi kuamini story kisa tu inamchafua mtu.