Wauza Juice Biashara Imekuwa Ngumu

RGforever

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
6,878
5,431
Naona Hapa Nilipo kwa Mwezi mzima na Nusu Jamaa Wanaouza Juice katika CAFETERIA hawana Nia Ya Kufungua Kabisa Biashara hiyo.. Sukari bado Ipo Juu kwa Mujibu wao


Am Confused ... Sijui hata Tunakoelekea... Mwanzo watu walikuwa na Matumaini Makubwa Vitu vitashuka Bei maisha Yataanza Kuwa Bora.. Bt now Ukimuuliza Mtu Hakuna Hata Utabiri wa Tunakoenda
 
Back
Top Bottom