wauwaji wa ALBINO kuuwawa hadharani ni soln kwa waliobki?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wauwaji wa ALBINO kuuwawa hadharani ni soln kwa waliobki??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Nov 13, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,771
  Trophy Points: 280
  watanzania kuna waraka nimeona chama cha maalbino tanzania kimeomba wale waliokutwa na mauwaji yaa albino wauwawe hadharani..mbele ya ndugu zao hii itakuwa fundisho kwa walle wote wenye mpango wa kuua albino ...kama wana jamii tunaitaji kuona na kujadili njia ya kutokomeza hili pepo la mauwaji..je hii kuwaua watu hadharani ni soln ??yaweza kupunguza idadi ya mauwaji...
  kwenu wananchi
   
Loading...