Waungwana ni Nzi sio Inzi (Wabongo wavivu wa kugundua leo nataka nigundue kitu)

Gily

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
1,041
2,000
Nzi kala Tunda kwa Masihara kwa muda wa saa mbili. Bado niko hapa nasubiri nigundue kitu natupia na picha/video za kutosha.

Nzi dume hawezi mpata jike mpaka atongoze, nzi dume huwa anatoa pheromones ambazo zinatambua jike la kujamiiana nae. Tafiti zinaonyesha nzi dume hupatwa na mkazo (stress) akikataliwa na jike kujamiiana. Utafiti unaonyesha pia nzi dume hunywa pombe ili kuondoa mkazo baada ya kunyimwa mzigo na nzi jike.

Kuna njia nyingi ambazo nzi wanazitumia katika utongozaji wake mfano pale dume linapomtaka jike, mfano, dume hujigongesha kwa jike pale anapokuwa anapaa au kuruka. Ila kujamiiana lazima watafute eneo nzuri lenye kuwafaa, ndipo dume linaruka juu ya jike. Dume la nzi likuwa juu ya jike lazima linapanue mabawa yake huku akimsugua au kugusa kichwa cha jike. Kama jike halitaki basi linajitingisha dume la nzi likianguka anaondoka na njia zake.

If a female fly wants to mate, she puts her ovipositor inside the male fly’s genital opening, located at the bottom of his abdomen. The ovipositor is a long thin tube that extends from the end of the female’s abdomen. When she isn’t mating or laying eggs, the ovipositor stays hidden. Once the ovipositor is in place, the male releases sperm, which travel through the female’s reproductive tract to fertilize her eggs. The entire mating process lasts from 30 minutes to two hours (notes Animal Diversity Web).

Picha au video by Gily:
 

Gily

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
1,041
2,000
Mods naomba msifute uzi wangu hii nimepost kwa sababu ya science, maana najua JF hairuhusu picha za kujamiana

Hapa wameanguka toka juu ya meza jike limechoka sana ila dume bado lipo:
 

Gily

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
1,041
2,000
After two hours jike limekimbia dume limebaki lenyewe
 

Gily

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
1,041
2,000
Hapa nimewapa push kidogo maana walikuwa wamelala kimabavu, niwasaidie dume liwe juu:
 

Gily

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
1,041
2,000
Dume nimelipa jina Kevin
Jike nimelipa jina Nandy
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom