Waungwana najua mtajisikia vibaya kuona picha hizi napenda niulize hivi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waungwana najua mtajisikia vibaya kuona picha hizi napenda niulize hivi?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mlugu.com, Mar 28, 2012.

 1. Mlugu.com

  Mlugu.com Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 2. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  ndo nini sasa hii? sijakuelewa zaidi ya kuona maiti. toa maelezo ya kueleweka ili nielewe unachokizungumzia. uko wapi? ilitokea lini? wapi? nani alihusika? n.k
   
 3. Mlugu.com

  Mlugu.com Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtamaholo nafikili nilichoomba kujua ni haki ya maiti kulipishwa ndipo izikwe !au hujanielewa kivipi labda mengineyo ni {....}jibu ulichokielewa.
   
 4. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  picha ni ya dada wa kikenya..aligongwa na treni sababu kubwa ya kugongwa ni kwamba alikuwa ameweka earphone masikioni akisikiliza mziki toka kwenye simu...tren ikatokea kwa nyuma hakuskia ndo ikamfanya hivyo
   
 5. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Hizi pics nyingine muwe waangalifu kwenye kuziweka humu.. Kuna watoto wanaotembelea humu..
   
 6. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  mhmm!!! Nimekosea njia.
   
 7. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hata mie huwa nasikia hivyo lakini sina uhakika
   
 8. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Sasa kama ulijua tutajisikia vibaya inakuwaje unazipandika humu?
   
 9. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  pita jukwaa la sheria mkuu.
  M sure utakutana na wenyeji !
   
 10. Kibwagizo

  Kibwagizo Senior Member

  #10
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwana kwa ushauri ungeziweka mwisho wa maelezo, make kabla ya kusoma inatulazimu ku LOG OFF.
   
 11. Eraldius

  Eraldius JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Sasa mbona inaonekana ume Save.
   
 12. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #12
  Mar 28, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  eeeh hatar, ungeweka tahadhari kwanza maana wengine tusingeingia hapa
   
 13. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #13
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  watoto wanaingia humu kuwa makini watakomaa kabla ya wakati wasipoangalia
   
 14. Geraldo DaVinci

  Geraldo DaVinci JF-Expert Member

  #14
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 277
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hakukua na haja ya kueka hizo picha ungeulza swali kwenye jukwaa la sheria kumbuka kuna watu wako very sensitive na unaweza kuwaadhiri kisaikolojia na hizi picha
   
 15. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #15
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  ndugu yangu uko sawa kabisa wacjifanye wao ndio waoga saaana.
   
 16. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #16
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Dah inasikitisha sana
   
 17. driller

  driller JF-Expert Member

  #17
  Mar 29, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  wadau nilikua ninapita tuuu..!
   
 18. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #18
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mmhhh, jamani mbona mnatutesa na picha hizi!
   
 19. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #19
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Msiwe wanafiki mnajifanya zinawatisha ??hizo picha zinatisha nin?? Sasa na huku kunawangine humu ni mabingwa wa kupiga wezi mpaka wanakata roho na kuwatia viberiti?

  Jibuni swali acheni kubwabwaja bana unataka kusema kuna mtu hajawahi kuisikia hii sheria??

  Kwa mawazo yangu na fikra zangu ni kuwa hii sheria ililetwa na wakoloni na imekaa kinyonyaji,kizalilishaji na ina kila sifa za kiubaguzi juu ya ngozi nyeusi na shangaa mpaka leo hii serikali ya ccm bado wanaikumbatia utafikiri wao ni wazungu.

  Au ndiyo bado tunatawaliwa kifikra ??

  Haiwezekani kabisa treni ikawa na thamani zaidi ya uhai wa binadamu.
   
 20. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #20
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  RIP ton yeye na tulobaki tujifunze toka kwenye hilo kosa lake
   
Loading...