waungwana msaada wa haraka

Dumelang

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
3,194
5,598
jamani wana lugha ya kiingereza msaada

je ukitaka kumwambia mtu ngozi inawasha unasemaje kwa kiingreza
neno ninalohitaji sana ni hili "washa" or kuwasha kwa ngozi au mwili
hope to receive soon b4 i consult a Doctor nipo nearby kwa mlango ,....lol
 
washa = "itch"
My skin is itching

Kila la kheri
 
wana jamii embu tuache utani, "the skin is switching on" what is it!!?.
 
Wadau wa vitabu vya lugha...naomba mnifahamishe vitabu vya lugh vinavyotumika sasa kidato ch3 bada ya baadhi kuondolewa
 
Back
Top Bottom