Waungwana ivi Udom wanatoa PhD??

sir mushi

Senior Member
May 26, 2013
143
52
sina maana mbaya, labda kwa ujinga wangu nataka kujulishwa tuu kwamba chuo kikuu dodoma wanatoa PhD? nifahamisheni waungwana...
 
Fany uchunguz kwnz, coz si kila ktu uulze! Au huna cfa ya GT? (GREAT THINKER)
 
Ukisikia university maana yake wanatoa mpk uprofesor nenda kagoogle utofauti wa collage na university kwa uelewa zaidi,kiroho safi tu lakini.
 
unaelewa nini unapozungumzia PhD? HII NI FULL FLEDGED UNIVERSITY SASA NI KWANINI WASITOE MJOMBA?
 
Back
Top Bottom