ndiyo wanatoa.sina maana mbaya, labda kwa ujinga wangu nataka kujulishwa tuu kwamba chuo kikuu dodoma wanatoa PhD? nifahamisheni waungwana...
Pitia website yao: The University of Dodoma
Kama hukupata jibu lako kuna contacts zao humo unaweza waandikia.
Cc: Emmanuel Nchimbi
Bcc:Nape Nnauye
Utakuja uliza humu kama mchicha ni mboga ya majani
Fany uchunguz kwnz, coz si kila ktu uulze! Au huna cfa ya GT? (GREAT THINKER)