Waumini wa Kakobe kutimuliwa alfajiri ya leo!!!

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,520
2,091
Kuna kila dalili kuwa wale Waumini wa FULL GOSPEL-MWENGE (KWA KAKOBE) Wanaolinda usiku na mchana kutimuliwa alfajiri ya leo,ili kupisha mradi mkubwa wa umeme,tetesi hizi zilianza jana jioni tar. 26.02.2010 na sasa hivi asubuhi ya tar 27. Saa 10 na nusu alfajiri... WAMEKATA UMEME. YARABI SALAMA!
 
Kakobe anataka ubabe na serikali....wakilifungia kanisa lake ataanza kulalamika....akienda kuhangaika kulifungulia...mahakamani wenzake wanajenga umeme!!
 
Kuna kila dalili kuwa wale Waumini wa FULL GOSPEL-MWENGE (KWA KAKOBE) Wanaolinda usiku na mchana kutimuliwa alfajiri ya leo,ili kupisha mradi mkubwa wa umeme,tetesi hizi zilianza jana jioni tar. 26.02.2010 na sasa hivi asubuhi ya tar 27. Saa 10 na nusu alfajiri... WAMEKATA UMEME. YARABI SALAMA!

Mkuu;

Jana nilimsikia Ngeleja akisema kuwa wanasubiri report ya Independent Consultant ambaye alipewa kazi na Kamati ya kutafuta ukweli inayohusisha, Kakobe Team; Wizara; Tanesco; TCRA; TANROADS; Kinondoni Municipal, DC, RC ili kubaini ukweli wa kile kinachogombewa na kupata facts zote.

Wananchi tumeombwa subira wakati Consultant ambaye amepewa hadidu rejea na Kamati anapokamilisha kazi yake. Tumeambiwa march report itakuwa tayari.

Sasa atakayewatimua ni nani?
 
........Hivyo hawa waumini hawana shughuli za kufanya au?Mie nawashangaa mnoooo!!
 
shame to Prophet Akaba a.k.a Kakobe!!! hivi anadhani ni sifa kulaza watu nje na juani kwa muda wote huu? misho wa siku umeme ukipita atasemaje? kuna siku atawaambia waumini wajichome,mwisho wa dunia umefika,na walivyo shortsighted,watfanya hivyo...................I HATE SELF-DECLARED WAHUBIRI,AAAAARGH!!
 
Siku ya mwisho watakuja kwangu wakisema "tuliponya wagonjwa na kufufua wafu kwa jina lako" Nitawaambia ondokeni kwangu siwajui enyi wana wa kuasi
 
Kakobe anayo haki yake katika hili na pia kwa kuwa wanashindana na Mungu basi wataona nini kitafuata kwa ajili ya mambo yao, Kakobe mwachie mungu mwenyewe
 
Serikaali ikisalimu amri kwa Kakobe itakuwa imejenga bad precedent. Sheria ni sheria. Road Reserve ni road reserve na umeme unapitishwa kwenye road reserve. The Govt should not brook any nonsence just to appease someone's inflated ego.
 
Kweli, hawa self proclaimed Bishops, ni hatari. Nadhani kila kitu chenye heshima duniani kina mamlaka. Huyu Kakobe mamlaka ya UBISHOP amempa nani. Namlinganisha na self proclaimed Professors, akina maji marefu etc.
KUNA SIKU ATAWAAMRISHA WATU WAJICHOME KUWA SIKU YA KWENDA MBINGUNI IMEFIKA, TUSUBIRI, TIME WILL TELL. KAMA MTU ANAWEZA KUKAA MCHANA/USIKU eti analinda... KESHO AKIAMBIWA AJICHOME ATAKUBALI
 
Hapo ndio tutajua nani mmbabe Serikali au Kakobe.

Serikali haina ubabe inafanya kazi kwa misingi ya katiba, sheria na taratibu zilozowekwa na hili suala litatatuliwa kwa vigezo hivyo hapo juu na kakobe hafanyi hivyo kwa ubabe bali kwa haki amabayo anayo kisheria.
 
unajua kinachoniogopesha ni jinsi hawa waumini wako loyal to mchungaji wao kiasi cha kufanya lolote wanaloambiwa bila hata kujiuliza,kuchekecha,na hawa wachungaji wanapolemewa na mambo ndio huishia kama wakina jim jones.
 
shame to Prophet Akaba a.k.a Kakobe!!! hivi anadhani ni sifa kulaza watu nje na juani kwa muda wote huu? misho wa siku umeme ukipita atasemaje? kuna siku atawaambia waumini wajichome,mwisho wa dunia umefika,na walivyo shortsighted,watfanya hivyo...................I HATE SELF-DECLARED WAHUBIRI,AAAAARGH!!

mkuu Mdau
sio kuwalaza tu ALIPRINT NA T-SHIRT KABISA ZA HIYO KAMPENI YAKE YA UJINGA
 
mkuu Mdau
sio kuwalaza tu ALIPRINT NA T-SHIRT KABISA ZA HIYO KAMPENI YAKE YA UJINGA

tatizo imani ni kitu cha ajabu sana,inafuta uwezo wa ku-reason out vitu simple sana...its ok,mwache Kakobe afaidi sadaka zake..
 
Back
Top Bottom