Auz JF-Expert Member Apr 6, 2016 13,497 11,342 May 10, 2016 #2 kulubule said: Click to expand... Kila muumini anachakarika, hamna mtu yeyote zaidi ya shughuli zake za kila siku ndio zinazompa kipato. Wachungaji wasibweteke na kuzoea vya bure.
kulubule said: Click to expand... Kila muumini anachakarika, hamna mtu yeyote zaidi ya shughuli zake za kila siku ndio zinazompa kipato. Wachungaji wasibweteke na kuzoea vya bure.
haa mym JF-Expert Member Jul 7, 2014 4,829 4,612 May 10, 2016 #3 Hata kesi za Eskro na zingine nyingi wamejaa wao tu ila kwa kufunikia mambo wapo vizuri huu uzi hautapata wachangiaji wengi.
Hata kesi za Eskro na zingine nyingi wamejaa wao tu ila kwa kufunikia mambo wapo vizuri huu uzi hautapata wachangiaji wengi.