Waume kwa wakwe kama umewahi tamkiwa hivi twambie ulijisikiaje

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
"Baby naomba usiniache sawa"

ve.jpg
 
maneno yote yanayotamkwa kwa hisia na moenzi wako jua kama yanaweza kuwa asali au shubiri, kubwa kuwa na subra kwani wakati utafika na utaelewa maana ya hiyo kauli yake
 
Niliwaji kutamkiwa hivo... Two months later akaniacha.... Ila This time anajutia....
 
Mimi nitamchukulia Tapeli tu --maana penzi likiwa jipya jiandae kujihisi umekwenda Ulaya bila visa. .ila likichacha jiandae kuonyeshwa rangi ambazo hujawahi ona
 
mapenzi ni sanaa........na sanaa hufanywa na wasanii......so lazima uwe msanii ukiwa kwenye mahaba na mahabuba wako....
 
Niliwahi tamkiwa na mwanaume niliekua simpendi..nilijikuta nasonya tu
 
Nachojishangaaga ni kwamba akil yangu haijawah kulewa mapenzi.Full time mnara wa akili timamu umejaa full BARS hata niwe uwanja wa fundi seremala 6x6 hakuna nitakachoambiwa kikapita moja kwa moja kweye moyo bila kuchujwa na AKILI yangu..so sijawah kushangazwa na kauli yoyote kwenye mapenzi toka nizaliwe
 
Back
Top Bottom