Namge
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,356
- 1,804
Wana JF natumai mu wazima.. Na mnaendelea vyema kulisongesha gurudumu la taifa..
Ngoja niingie kwenye mada moja kwa moja...
Wadungu kutokana na maendeleo ya kijamii na ukuaji wa miji.. Kumeleteleza kuwapo kwa kwa hali ya familia nyingi kuishi maisha ya kupangisha..
Hali inapelekea familia nyingi za status tofauti kujikuta sehemu moja
Kwa mfano.. Unakuta bachelor, couple ya mme na mke, Familia Ya watoto wakubwa kiasi.. Na Wengine Familia ya watoto wakubwa kabisa..
Wote hapo mnajikuta kaya moja.. Mwenye Chumba kimoja, viwili, viatu.. Kulingana na mahitaji.
Kuna changamoto nyingi katika kaya za namna hii. Lakin kubwa iliyonileta hapa ni tabia za watu kufanya mapenzi kwa namna ambayo inatia aibu na kuleta fedheha..
Unakuta mtu anapiga kelele sana kiasi kwamba mwisho wa Siku watu mnaangaliana kwa soni.
Mfano hapa nilipo tumepakana na couple moja..ambayo mbibie hupiga kelele Kali.. Zikiambatana na maneno..
"Oooh Ooh huwii.. Hapo hapo.. Nit*mb* beib nit*mb*..ingiza yote.. Mamaa Tamuuuuuuu... "
Sasa hapo umeme hakuna na ndo mapema...familia zingine Zipo mezani kwa ajili ya Chakula.
Cwakatazi watu kupeana utamu ila tuangalie na mazingira yetu yanayotuzunguka hasa kina mama...
Kipindi Nipo chuoni ktka hostel moja iv..
Kulikuwa na couple ya mzungu na mbongo mmoja ambayo wakianza Yale mambo ya kiutu uzima bhas hostel nzima lazima muamke ..sasa ndo ikawa mtindo na videmu vingine ikawa Kama life style ikabidi Tuweke kikao,
Sasa na uswazi kwetu naona hali inakuwa mbaya sana..
NB:Tuangalieni maadili jamani.. Lenye kuweza kuliepuka tuliepuke"