Muhudumu wa afya na mwanafunzi wa udaktari (intern) hospitali ya wilaya Kaliua, mkoani Tabora wasimamishwa kazi kwa kufanya mapenzi wodini

Mkuu wa wilaya ya Kaliua, Paul Chacha amewasimaisha kazi watumishi wawili wa hospitali ya wilaya hiyo kwa tuhuma za kushiriki mapenzi hovyo wodini.

Chacha amesema awali ulifanyika uchunguzi baada ya wagonjwa kulalamikia vitendo vya wauguzi hao kufanya mapenzi wodini wakiwa zamu za usiku.

Mmoja wa wahudumu hao alikuwa kwenye mafunzo ya vitendo na mwenzake alikuwa ni mtumishi wa hospitali hiyo.

Chanzo : CG Fm

Bean 1.jpg
 
Kwa huyu mwanafunzi kuna kitabu cha Ongoing Record of Archivements . Kila unalolifanya ukiwa field una record na nurse anaweka sahihi. Pass inakua kwenye hiki kitabu. Ukifeli field mara mbili unaondolewa kwenye masomo.

Si ajabu mwanafunzi alikua desperate kwa pass aliamua kutoa kitumbua.
 
Mkuu wa wilaya ya Kaliua, Paul Chacha amewasimaisha kazi watumishi wawili wa hospitali ya wilaya hiyo kwa tuhuma za kushiriki mapenzi hovyo wodini.

Chacha amesema awali ulifanyika uchunguzi baada ya wagonjwa kulalamikia vitendo vya wauguzi hao kufanya mapenzi wodini wakiwa zamu za usiku.

Mmoja wa wahudumu hao alikuwa kwenye mafunzo ya vitendo na mwenzake alikuwa ni mtumishi wa hospitali hiyo.

Chanzo : CG Fm
Weka kapicha kidogo ka hao watu
 
weka picha, aisee kama una mke nesi andika maumivu na sare zao za vimini sketi, afu sijui manesi huwa wanajidunga sindano za kubusti ma.ta.ko, wana makalio makubwa yanatetema hayo

hata ingekuwa ni wewe upangiwe nae zam ya usiku na kibaridi hiki cha mvua, lazma jitu liliwe kimasihara aisee.
 
Mkuu wa wilaya ya Kaliua, Paul Chacha amewasimaisha kazi watumishi wawili wa hospitali ya wilaya hiyo kwa tuhuma za kushiriki mapenzi hovyo wodini.

Chacha amesema awali ulifanyika uchunguzi baada ya wagonjwa kulalamikia vitendo vya wauguzi hao kufanya mapenzi wodini wakiwa zamu za usiku.

Mmoja wa wahudumu hao alikuwa kwenye mafunzo ya vitendo na mwenzake alikuwa ni mtumishi wa hospitali hiyo.

Chanzo : CG Fm
Jinsia zao tafadhali usije kukuta walikua wanapakuana tope
 
Mkuu wa wilaya ya Kaliua, Paul Chacha amewasimaisha kazi watumishi wawili wa hospitali ya wilaya hiyo kwa tuhuma za kushiriki mapenzi hovyo wodini.

Chacha amesema awali ulifanyika uchunguzi baada ya wagonjwa kulalamikia vitendo vya wauguzi hao kufanya mapenzi wodini wakiwa zamu za usiku.

Mmoja wa wahudumu hao alikuwa kwenye mafunzo ya vitendo na mwenzake alikuwa ni mtumishi wa hospitali hiyo.

Chanzo : CG Fm
Kuna watu wana wivu nchi hii

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom