Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,346
Yaani unakuta mtu uko hoi bin taabani , unaamua kwenda kwenye hospital ya serikali au kituo cha afya ukiwa na kadi yako ya bima ukifika huko ,kuanzia maeneo ya reception unakuta mtu badala ya kuelekezwa ni wapi pa kuanzia mtu yuko bize kusikiliza mziki ,ameweka earphone masikioni, haya ukifika kwa daktari nae anakufanyia diagnosis tu kawaida kisha anakuandikia madawa bila kukupima.
Manesi nao ndio hivyo.
Badilikeni jamani.
Manesi nao ndio hivyo.
Badilikeni jamani.