Watz wengi wanaona CCM iko tayari kuiba kura kuliko kushindwa kwa JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watz wengi wanaona CCM iko tayari kuiba kura kuliko kushindwa kwa JK

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Zak Malang, Oct 15, 2010.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kweli Watanzania wengi sasa wameanza kuamka -- ukiachilia mbali wale wachache walioathirika na sekondari za kata. Nilikuwa Mbeya wiki iliyopita na kila nilipopita wananchi wanasema CCM iko tayari kuiba kura na kuleta vurugu ili uchaguzi uharibike kuliko kuona mgombea wao aangushwe na Dk Slaa.

  Wengi wanasema safari hii CCM hawana njia nyingine.i
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Oct 15, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa maana nao wamegundua watz wa sasa si kama wale wa enzi za mwalimu.
   
 3. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  lazima waone hivyo kwani hiyo desturi yao ccm ya wizi
   
 4. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Waache uzushi wakapige kura na kulinda kura zao!
   
 5. J

  Jafar JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  CCM wameshaanza kumwaga damu kule Mara, lile tukio ingekuwa upinzani ndio wamefanya leo hii dunia nzima ingejua na ndio kingekuwa kichwa cha habari cha mgombea wa CCM. Sasa wao ndio wamepiga mapanga sura zao zimekuwa ndogo kama pilitoni.
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mbona CCM wana uzoefu wa kudokoa kura Umesahau ya Zanzibar?
   
 7. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Tarime walisha toa somo jinsi ya kulinda kura. Ccm hawanadini, mkiwachekea wanchakachua matokeo. Piga kura na usicheze mbali kama tarime.
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,436
  Likes Received: 22,350
  Trophy Points: 280
  Sisiemu inajisifia kuwa ina mbinu mia sita za kuiba kura, hadi sasa wametumia mbinu nne tu
   
Loading...