Watz waliopo nje ya nchi watapataje vitambulisho vya taifa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watz waliopo nje ya nchi watapataje vitambulisho vya taifa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by joshua_ok, Jul 28, 2012.

 1. j

  joshua_ok JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 4,555
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Wadau naomba niulize hivi waTanzania walio nje ya Tanzania wakati zoezi hili linaendelea kujiandiskisha watapataje vitambulisho vya Taifa hakuna taratibu zozote za kushikirikiana na balozi zetu kufanyika zoezi hili huku huku ughaibuni? au ndo lazima mtu arudi Tanzania ili kupata kitambulisho?
   
 2. a

  andreakalima JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 2,917
  Likes Received: 1,804
  Trophy Points: 280
  Joshua unauliza raia wa TZ waliopo nje wakati sisi wa ndani bado ni chaos tu. anyway nionavyo maadam kuhusu watu wa nje linahusisha safari (per diem) hapo lazima NIDA wachangamkie tena wanaweza hata kuacha kushughulikia hizi ID za watu wa humu ndani kwanza!! hii dili ya vitambulisho ni mchongo wa kula pesa mkuu tena Masha alilipigia timing siku nyingi sana sema wananchi wa Ilemela wakampotezea JUMLA
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,572
  Likes Received: 82,101
  Trophy Points: 280
  Niliwahi kusikia kwamba watatangaziwa na Balozi husika kuhusu lini zoezi hili litaanza rasmi katika nchi mbali mbali duniani ambazo Tanzania ina mabalozi wake.
   
 4. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  paasport yako ni kubwa kuliko kitambulisho
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,514
  Trophy Points: 280
  vitambulisho na passport vina tofauti?
   
Loading...