WaTZ walio Diaspora wanaleta Pesa nyingi kuliko madini?

KadaMpinzani

JF-Expert Member
Jan 31, 2007
3,748
0
Mr. 0,
unajua kwa nini watu hawachangii hapa ?

kwa sababu wanaona hamna MWANYA wa kuishambulia ccm !
 

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
32,960
2,000
usiniambie umerudi kimya kimya... bwana we hizi adhabu nyingine si nzuri.. sometimes without you here ina kuwa ni kama kwenda uwanjani mtu umetinga jezi na kila kitu halafu timu nyingine haitokei...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom