MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,747
- 48,343
Hili sasa linaeleweka maana limekaa kitaalam zaidi ukilinganisha na kauli za awali kwamba corona itaungua ikiingia kanisani. Hili nahisi likizingatiwa vizuri linaweza kuwa tiba ya corona maana kirusi chenyewe ni futa na unaweza ukakiyeyusha kwa maji ya moto au mvuke.
Nimefuata taarifa nyingi za watu wanaosema walipona corona bila kwenda hospitalini kule Ulaya, wengi wanasema walikua wanakunywa maji ya moto baada ya kila dakika 15, cha msingi ukianza kuhisi kwa namna fulani koo linaziba, kunywa maji ya moto tena sana na kwa kila mara, muhimu hakikisha kirusi hakipiti kwenye koo na kuingia kwenye mapafu maana baada ya hapo ndio inakua kiama, wengi wa wanaoaga dunia inatokana na kuruhusu kitue kwenye mapafu, hivyo ukifaulu kukiwahi kabla, mambo yataenda freshi.
Ukiweza anza kujizoesha unywaji wa maji ya moto hata kabla haujaumwa corona, mimi hii imekua desturi yangu kila siku kwa miaka kadhaa sasa, kila nikiamka kabla kula chochote lazima ninywe maji ya moto yaliyotiwa limau. Na imenisaidia pakubwa maana huwa siumwi kirahisi, na nikipata mafua yenyewe hufa ndani ya siku tatu.
Hivyo ndugu zangu wana Afrika Mashariki, huu ni ushauri mzuri.
Lakini tahadhari zibaki zile zile, epuka misongamano, tumia barakoa, takasa mikono kwa sanitizers baada ya kila dakika 30 au saa, nawa mikono kwa maji tiririka.
Mengine yote muachie Mungu maana alisema mwisho wa maarifa ya binadamu ndio mwanzo wa Mungu, hivyo ukitumia hekima yote aliyokupa, basi naye anaanzia hapo, ila usibweteke na kukaa kiuzembe.