WATZ tusiwe watu wa kufuata mkumbo,intelijensi ifanye kazi

Indian

JF-Expert Member
Oct 27, 2012
822
705
Kipindi hiki sasa kwa upande wa mawasiliano kinaanza kuzorota, kuanzia mashirika ya simu,pamoja na mauzo ya biashara ya simu.Tumeshuhudi viongozi wa serikali wakitoa maelezo kwenye vyombo vya habari ni jinsi gani simu zitakua katika system ya kutofanya kazi kwa kudai kuwa zina adhari za kuiga kutoka kenya, kwa maelezo yale wananchi wameyapokea vibaya sasa huduma zote za mawasiliano zimeanza kudorora. kwa kukopy kenya ilikua sio kitendo kizuri kwa kua kenya ina sera zake na mambo yake au ilikua tukopy zaidi vitu vya maendeleo, kuna mambo mawili ambayo kenya imeshindikizwa kuweka mpango huu ambao lain ya simu itachagua simu ya kufanya kazi na sio kuifungia simu,hapa tunavoona la kwanza inawezekana kuna shindikizo la kutoka nchi za magharibi ili kuwapunguza nguvu wachina,pili kuna tajir wa kisomali pale kenya ambaye amewekeza pesa nyingi sana kwenye kiwanda cha tecno ili awe anafanya biashara yeye tu,ambayo tecno hii haiuzwi duniani kote isipokua kenya,
 
nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
15,159
19,146
sijakuelewa kabisa..just put it in layman terms for a person like me to grasp
 
Ame

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
4,815
3,119
Kipindi hiki sasa kwa upande wa mawasiliano kinaanza kuzorota, kuanzia mashirika ya simu,pamoja na mauzo ya biashara ya simu.Tumeshuhudi viongozi wa serikali wakitoa maelezo kwenye vyombo vya habari ni jinsi gani simu zitakua katika system ya kutofanya kazi kwa kudai kuwa zina adhari za kuiga kutoka kenya, kwa maelezo yale wananchi wameyapokea vibaya sasa huduma zote za mawasiliano zimeanza kudorora. kwa kukopy kenya ilikua sio kitendo kizuri kwa kua kenya ina sera zake na mambo yake au ilikua tukopy zaidi vitu vya maendeleo, kuna mambo mawili ambayo kenya imeshindikizwa kuweka mpango huu ambao lain ya simu itachagua simu ya kufanya kazi na sio kuifungia simu,hapa tunavoona la kwanza inawezekana kuna shindikizo la kutoka nchi za magharibi ili kuwapunguza nguvu wachina,pili kuna tajir wa kisomali pale kenya ambaye amewekeza pesa nyingi sana kwenye kiwanda cha tecno ili awe anafanya biashara yeye tu,ambayo tecno hii haiuzwi duniani kote isipokua kenya,

Kabla ya kusoma hii thread nilishaandika opinion yangu kuhusu attitude za watanzania....Its so sad! Nai copy tena hapa....

Ukimsoma vizuri mleta mada....Haikutakiwa Boniface asijulikane..Tatizo ni je hizo (character zake ) ni interesting kwenye ears za watanzania? Kila jamii inamambo ambayo inashabikia then it means Boniface being a Tanzanian na kwa culture ya watanzania hiyo siyo habari maana watu wachapakazi na wasiopenda usanii na sifa za kijinga siyo watu wanaopendwa kusikika katika kile ambacho watanzania watakiita habari..'News'....Wa kumleta Boniface kwenye ears za watanzania ni wanahabari nao hawawezi leta habari ambayo siyo 'news' maana siyo preference ya consumers wao...Then we come back to the conclusion wengi wa watanzania wanapenda watu wanafiki na wasanii...

Ukipenda kujua ukweli wa hili angalia thread zinazoshabikiwa na wana JF ambao ni representative wa informed group ya watanzania.....Leta habari ya fisadi fulani kasikika yupo so and so.....Kiongozi fulani kafumaniwa.....Kikombe cha babu kimetibu na kuua wangapi....utakuta ni uzinzi, wizi, ushirikina ndiyo news za wengi wetu....So hizi habari za wakili mahiri utazisoma sangapi wakati thread za jinsi hizi hazisomwi na wengi? Je waleta habari wataleta thread za jinsi hiyo?

Kuna rafiki yangu mmoja alinipa ushauri..mzuri tu kwakweli..kwamba nikipenda wengi wanisome basi niache kuandika habari kuhusu imani yangu na niandike za profession yangu...Swali likanijia hivi mimi objective yangu ya kuhabarisha wengine ni ipi? Kama preacher basi ni kuhusu imani yangu kwanza na taaluma yangu inafuata baada ya imani yangu..Sasa nikiacha hivi nitakuwa naishi ndani ya dhamira yangu au nitakuwa na ishi kwa kuiga wengine? its either na endelea kuandika hizo habari kwa as few as watakaopenda kusoma ama naacha kabisa maana ni kupoteza muda kufanya jambo ambalo si objective yangu...

Watanzania wengi wanatatizo la kujitambua na kujiamini...sababu bado sijaijua lakini naitafuta na soon will be informed of why watanzania wanashindwa kujitambua na kujiamini badala yake wanapenda kuiga mno na kufuata mkumbo.
 
Brodre

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,350
1,356
kaka kama kitu ni kizuri si vibaya kucopy as long as akina copyright.... au unaduka la simu za kichina? sio uongo hizo simu ziko chini ya kiwango kwanini zisifungwe au unataka watu waendelee kuugua kansa?
 
Pancras Suday

JF-Expert Member
Jun 24, 2011
7,934
3,476
Ni mpango mzuri sana kama kweli serikali yetu imedhamilia kwa sababu tumechoka nchi yetu kuwa dumping material ujizingatia kuwa bidhaa feki zote kutoka china na nchi nyingine zimekuwa ndo sehemu ya kutupia
 
Ame

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
4,815
3,119
Ni mpango mzuri sana kama kweli serikali yetu imedhamilia kwa sababu tumechoka nchi yetu kuwa dumping material ujizingatia kuwa bidhaa feki zote kutoka china na nchi nyingine zimekuwa ndo sehemu ya kutupia

Mipango mizuri kwa Tz ni ile tuambayo haihatarishi uwepo wa CCM madarakani...Mingine yote ambayo ni urgent and Important lakini hatarishi hiyo si mizuri....Kuna madawa mangapi yapo madukani kwetu na ni sumu kwa sababu ya rushwa na wahusika hawaadhibiwi kukomesha hizo tabia? Viwanda vingapi vya nyavu vipo na vina vibali havifungwi lakini wavuvi wanaotumia hizo nyavu mara ngapi wametiwa hasara kwa mitaji yao kunyang'anywa kwa kisingizio cha uvuvi haramu?

Leo elimu ya uraia kupitia simu ya mchina inatafutiwa sababu na implementation ya haraka haraka kama vile ni kitu very urgent kupita vyote hapa Tanzania.....Sikatai hiyo simu inaweza na athari lakini urgency yake compared to corruption ipo juu na ipi ni priority?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom