MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,757
- 48,407
Mbona msiwe na fahari na cha kwenu hata kama kina sura mbaya kama zizi la ng'ombe.
Kuna hizi picha game over anazieneza humu kwenye nyuzi kadhaa akidai ni picha za JNIA mpya, ilhali picha zenyewe ni za uwanja wa ndege wa Waarabu kule Oman.
Hii hapa picha ya MUSCAT international Airport
New Muscat International Airport to offer enhanced passenger experience: Official - Oman
Hii hapa picha mnayotumia kusema ya kwenu
Kenya number one in the world in phone internet traffic
CC: kadoda11