Ubaya wake nini kwani kama wao kwao ni kitoweo MziziMkavu? Mi nafikiri kwetu huku kula paka utaonekana una kasoro kama ilivyo kula mbwa au nyani. Imagine Korea mbwa wanavyotafunwa!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.