Watundu wa Android NISAIDIENI HILI

NingaR

JF-Expert Member
Apr 15, 2012
2,759
590
Wana Tech Nina Huawei Ideos U8150-D natumia Airtel, tatizo nikua Web browsers hazipigi mzigo inayo kubali ni opera mini, yaani Opera mobile 12 na UC browser zinagoma af opera mobile inasema "FAILED TO CONNECT TO PROXY SERVER" na play store inazingua napo taka kudownload kitu ina vew fresh tu lakini kudownload ndo ina zingua, and natumia Access Point ambayo haina prox wala port. Msaada jamani tatizo ni nini au nifanyeje?? AKHSANTENI
 
shida sio connection, opera mini na baadhi ya apps zinapiga mzigo kama kawaida
 
ingia setting.... click vpn setting..... add vpn....
NAME: airtel
APN: airtel internet
MCC:640
MNC:05
AU
NAME: airtel
APN: internet
MCC:640
MNC:05
hizo sehemu nyingine acha tu.....
 
ingia setting.... click vpn setting..... add vpn....
NAME: airtel
APN: airtel internet
MCC:640
MNC:05
AU
NAME: airtel
APN: internet
MCC:640
MNC:05
hizo sehemu nyingine acha tu.....

NASHUKURU Mkuu GomA lina piga mzigo kama ulaya vile
 
tehtehtehteh..... tena ukitaka kukafaidi hako kasimu... unga bundle ya sh.2500 mb400 (sms.....INTERNET-15444)

ndo navyo fanya hivyo, mkuu lakin kuna music app hai connect na internet, inaitwa Ttpod kama unaujuzi msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom