Watumwa walikuwa wanaamini wazungu wanawanunua ili kwenda kuwala

Hivi kipindi Afrika imeenda kutawala ulaya walijua Sisi tukaenda kuwafanya nin?..

Historia inasema Afrika ilitawala Ulaya kabla ya wao kuja huku.. Kwa bahati mbaya historia inayofundishwa mashuleni inafanya waafrika waonekane kama vile ni wanyonge yani

Inatakiwa tushtuke kama vile China iliamua kushtuka..
Hao waafrika waliotawala Ulaya ni Waafrika wa nchi gani? Zaidi ya Misri ikiyowatawala na kuwafanya watumwa Waisrael wa Mashariki ya mbali?

Walitawala miaka ipi? Walitawala nchi zipi za Ulaya? Msaada tafadhali
 
Kama ndivyo hivyo mbona inasemekana WAKO VIONGOZI NA MACHIFU walioshirikiana na wageni hao kuwapatia WATUMWA....
Nakwambia enzi hizo zingemkuta hai na active km alivo kuwa huyu jiwe mfu!! na Makonda wake heee!! mngekomaje?? yaani mngetia huruma sana wa kwanza kwenda kuuzwa na kuliwa angekuwa
!1.Mbowe...
2. Lisu.
3seif shalif.
4Nape,
5Makamba jr and seniour makamba
5 Sylvia mamkwe..mganga mkuu wa Temeke / zamani sijui yuko wapi siku hizi!.........
........wengine malizieni huko!!
 
Waafrica wenzao walishiriki sana kufanikisha hili hasa wenyeji wa asili wa Misri! walikuwa na MImali miiingi sana walizo chuma kwa faraoh!! walikuwa na himaya kubwakubwa na mauchawi bab kubwa!!

jamani karne karibu nne ndg zetu wanauzwa hunuhumu mjue si mchezo!! halafu tuna karibiana saaana na wana waisrael!! au ndo sisi??
 
Pengine wengine waliliwagwa sema hakuna vitabu vya kuthibitisha tu.. waliwaburuza sana mabibi/mababu zetu ngurudoto walee
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom